Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
una maswali mengi
you have a lot of questions
Laatste Update: 2022-04-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
nina maswali mengi kwa ajili yako
i had a lot of questions
Laatste Update: 2024-05-22
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
ajali hiyo imezua maswali mengi.
the crash raised a number of questions.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
basi, akamwuliza maswali mengi kwa muda mrefu, lakini yesu hakumjibu neno.
then he questioned with him in many words; but he answered him nothing.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
bado kuna maswali mengi ambayo hayajapatiwa majibu: nani anapaswa kulipa fidia?
there are still many unanswered questions: who should pay?
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
aliwaita wanahabari wa marekani kama "waandishi wangu," na kuwazuia kuuliza maswali mengi.
he referred to the american press corps as "my press," and he chided them for asking too many questions.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
maswali mengi yanabaki bila majibu na maoni mengine mengi yatajaza mjadala huo kwa juma hili katika ulimwengu wa blogu nchini venezuela.
many questions remain unanswered and many more opinions will fill the discussion this week in the venezuelan blogosphere.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
katika shule ya uandishi wa habari jijini london mwaka 2002 nilikuwa na mwanafunzi mwenzangu aitwaye harun hassan ambaye nilizoea kumuuliza maswali mengi kuhusu maisha yake ya mogadishu na siasa za somalia.
in journalism school in london in 2002 i had a classmate named harun hassan who i used to ask a lot of questions about life in mogadishu and somali politics.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
lakini sasa, wakati urusi ikijiandaa kijeshi na crimea ikifikiria kujitenga, yapo maswali mengi yasiyoisha kuhusu mustakabali wa kisiasa nchini ukraine pamoja na uhusiano wake na umoja wa ulaya.
but now, as russia looms with military might and crimea considers succession, there are endless unanswered questions about ukraine's future political moves and relationship to the european union.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
wengine wanashangaa kuwa itawezekanaje kuweka kiwango sahihi cha fedha kwa kazi zote zinazofanyika majumbani na namna ambavyo sheria hiyo itakavyofanya kazi- huku maswali mengi yakitazamiwa kuulizwa kufuatia mswada huu wa sheria.
others wonder how it will be possible to put a 'price tag' on all the work that goes on within a home and how such a law would be implemented - given the various questions that are sure to come up in it's wake.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
kwa kupitia blogu ya jamii ya voces urgentes (sauti zenye kuashiria haraka), wanaibua maswali mengi kuhusiana na hatma ya mgogoro huu na suluhisho lake:
in the collective blog voces urgentes (urgent voices), they pose several questions regarding the future of this situation and its resolution:
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: