Je was op zoek naar: mikubwa (Swahili - Engels)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

mikubwa

Engels

strong hands

Laatste Update: 2023-07-16
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

milipuko mikubwa inasikika

Engels

militants also damaged three empty parked airplanes.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

somalia: migawanyiko mikubwa kuhusu katiba mpya

Engels

somalia: deep divisions over new constitution · global voices

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

basi, huyu mnyama wa pili akafanya miujiza mikubwa hata akasababisha moto kutoka mbinguni ushuke duniani mbele ya watu.

Engels

and he doeth great wonders, so that he maketh fire come down from heaven on the earth in the sight of men,

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mradi wa statoil wa uvunaji wa gesi nchini tanzania ni moja ya miradi mikubwa kabisa kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara.

Engels

statoil's gas extraction project in tanzania is one of the largest investments ever in sub-saharan africa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

askari yeyote ya misri ametumikia katika jeshi anajua vizuri sana mikopo mikubwa majenerali wa jeshi inayoingizwa kwenye akaunti zao za benki.

Engels

any any egyptian soldier served in the army knows very well how large credits the army generals own in their bank accounts.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kila mahali kutakuwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi, kutakuwa na njaa na tauni. kutakuwa na vituko vya kutisha na ishara kubwa angani.

Engels

and great earthquakes shall be in divers places, and famines, and pestilences; and fearful sights and great signs shall there be from heaven.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

maelfu ya watu waliandamana mjini tehran, mashdad na kwenye miji mingine mikubwa ya irani ili kupinga ushindi wa rais mahmoud ahmadinejad katika uchaguzi mkuu uliofanyika ijumaa.

Engels

thousands of people demonstrated in tehran, mashhad and several other major cities in iran to protest against president mahmoud ahmadinejad's proclaimed victory in the iranian presidential election on friday.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hoteli za wanawake au hoteli zinazotenga safu nzima ya ghorofa kwaa jili ya wanawake zipo karibu katika kila jiji kubwa (na hata kwenye miji isiyo mikubwa) duniani.

Engels

women hotels or women-only floors are actually common in most major cities (and some not so major) all over the world.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

haya hapa makampuni matano yaliyokuwa yameingia mikataba mikubwa ya kusambaza vifaa na kutoa huduma katika kupambana na ugonjwa wa ebola nchini sierra leone kama yalivyoorodheshwa kwenye taarifa ya ukaguzi ya fedha za kupambana na ebola kwa kipindi cha kuanzia mei - oktoba 2014.

Engels

here are the 5 companies who were awarded the biggest contracts to provide goods and services to sierra leone’s ebola response as listed in the ebola funds audit report covering the period from may – october 2014.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

cdc imependekeza kutumia vizuizi vya uso vya kitambaa katika mazingira ya umma, ili kuzuia maambukizo kutoka kwa mtu anayeonyesha dalili. mikakati ya kujitenga na jamii inakusudia kupunguza utangamano na watu walioambukizwa katika vikundi vikubwa kwa kufunga shule na mahali pa kufanya kazi; kuzuia usafiri na kupiga marufuku mikusaniko mikubwa ya umma.

Engels

the cdc has recommended the use of cloth face coverings in public settings, in part to limit transmission by asymptomatic individuals.social distancing strategies aim to reduce contact of infected persons with large groups by closing schools and workplaces, restricting travel and cancelling large public gatherings.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,747,485,412 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK