Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
ninatumaini serikali haitakubaliana na mpango huo.
i hope the government say nope.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kanisa katoliki limepinga vikali mpango huo.
the catholic church has expressed strong opposition to the program.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mpango huo uliibua gumzo katika ulimwengu wa blogu za nigeria.
this triggered reverberations in the nigerian blogosphere.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kundi la wanawake gabriela linauona mpango huo kama hatua yenye muelekeo sahihi..
the women's group gabriela see the program as a step in the right direction.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mpango huo wa kuendeleza majirani utatengeneza nafasi 150 za vijana wanaotoka kwenye jamii hizo.
painting my neighborhood program will create 150 positions for young people from the community.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hilo lingehakikisha kwamba mpango huo hautatekelezwa bila kujali, na kwamba misimamo yote imewekwa maanani.
this will ensure that the program is not implemented mechanically, and all arguments are heard.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
katika mpango huo serikali ilinunua mchele kwa wakulima wadogo kwa bei ya juu na kuuza katika soko la dunia.
the program involved the government buying the rice output of local farmers at high a price before reselling the rice to the global market.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
lakini saulo alipata habari ya mpango huo. usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumwua.
but their laying await was known of saul. and they watched the gates day and night to kill him.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa hiyo, wakati mpango wa dharura upo, bado inahitaji kuangaliwa ikiwa madagaska imeweza kuandaa raslimali zinazohitajika kuutekeleza mpango huo.
so, while a contingency plan exists, it remains to be seen if madagascar has been able to put in place the resources needed to implement it.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hata hivyo, haijawa wazi kama ni kweli mpango huo ni matokeo ya moja kwa moja ya kampeni ya kukabiliana na ebola iliyoanzia kwenye mitandao ya kijamii.
however, it is not clear whether this initiative is the direct result of the ebola free campaign on social media.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
takwimu zozote kuyapa uzito madai ya mpango huo kulisababishia hasara taifa zimepikwa ili kufanya nionekane nina hatia na zina ajenda ya siri ya kuondoa upinzani wa kisiasa.
any figures on the losses from the scheme have all been manipulated with bias towards me and with a hidden agenda used to eliminate a political opponent.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa makadirio ya 2015, shirika la unhcr lilionesha matarajio yake kwa mpango huo mahsusi kwa wakimbizi wa afghani, iraq na pakistani kama inavyooneshwa kwenye picha ifuatayo.
for their 2015 projection, the unhcr detailed their expectations for iran's intake for mostly afghan, iraqi and pakistani refugees as outlined in the image below.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hata kama itafikiriwa kuwa mawaziri wanaoratibu mkakati huu wa sasa wanafanya udanganyifu makini wa wazi, waangalizi wa zamani katika baraza la mawaziri bado wanaweza kupiga kura ya turufu kuhusiana na matokeo ya mpango huo.
even if it is assumed that the ministers leading the current initiative are of a keenly liberal bent, the older guards in the cabinet remain likely to have a veto over the final product.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
watumiaji wengi wa mtandao wa intaneti waliamua kutumia picha ya "kunming px" kama utambulisho wao mtandaoni huku ikiwa imewekwa alama ya x kuonyesha kupinga mpango huo.
many web users switched their weibo profile photos to an image of “kunming px” crossed-out to show support.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
mamia ya raia wanaouguswa na hatua za kubana matumizi zinazopangwa kuchukuliwa na serikali wenye kutii sheria bila vurugu, walioamua kupinga mpango huo pamoja na hali mbaya ya kiuchumi na hatua za kuuza gesi nje walikumbana na hatua mbaya za vurugu zisizolingana zilizofanywa na polisi.
hundreds of law-abiding and peaceful concerned citizens who came to protest against the austerity measures, the economic situation and the export of gas were met with violent and completely disproportional police treatment.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
wakati wa awamu ya pili ya mpango huo, iliyoishia mwaka 2010, rwanda ilishuhudia asilimia 8,900 ya ongozeko la watumiaji, ukifananisha na asilimia 2,450 kwenye sehemu nyingine barani afrika na asilimia 44 duniani.
during the plan's second phase, which ended in 2010, rwanda saw a 8,900 percent increase in users, compared with 2,450 percent for the rest of the continent and a world average of 44 percent.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mpango huo unadhaminiwa na dk. dora akunyili, waziri wa habari na mawasiliano wa naijeria, na ambao umekumbana na yote mawili, sifa na kukosolewa (angalia hapa ili kusoma mjadala huo kwenye global voices)
the initiative is sponsored by dr. dora akunyili, nigerian minister of information and communication, and has been met with both praise and criticism (see here for the discussion at global voices).
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
26 ya idara ya elimu (deped), iliyoruhusu vitini vya kufundishia elimu ya ngono, ingeliweza kuwa hatua chanya, iwapo kitengo hicho kinge endesha mchakato wa kushauriana na wadau mbalimbali kabla ya kuanza kutekeleza mpango huo.
the department of education (deped)’s memorandum no. 26, allowing the use of teaching modules on sex education, could be a positive step, granting that deped will conduct an intensive process of consultation with different stakeholders before full implementation.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ibo ilitaja kwamba ingewapa wanafunzi alama katika diploma zao au vyeti kulingana na "kazi walizofanya darasani" na "utaalamu wa kutahtmini, kazi kuntu na udhibiti wa ubora ambao tayari ulikuwa umekuzwa katika mpango huo."
the ibo stated that it would award candidates their diplomas or certificates based on "their coursework" and "the established assessment expertise, rigor, and quality control already built into the programme."
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak