Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
serikali zenye vifungu vya demokrasia haziwezi kumudu kuwa na ujanja wa kuratibu vinavyokuwepo kwenye mtandao kwa muda mrefu.
governments with democratic trappings cannot afford to censor the online media for an extended period.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
lakini nipo tayari kuwa na imani isiyo ya kawaida, ikiwa kama ni hilo tu linalohitajika ili kukaribisha amani iliyotuchenga kwa muda mrefu.
but i am willing to take an unusual leap of faith if that’s what it takes to usher in the long-elusive peace.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hapo wakapendelea kuwa na mfalme, na mungu akawapa saulo, mtoto wa kishi wa kabila la benyamini, awe mfalme wao kwa muda wa miaka arobaini.
and afterward they desired a king: and god gave unto them saul the son of cis, a man of the tribe of benjamin, by the space of forty years.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
matokeo haya ni ya ajabu: kwa muda usiofika miaka kumi, zaidi ya watu milioni moja wameinuliwa na kuuaga umasikini uliokidhiri na nchi inaonekana kuwa na uchumi imara na unaokua kwa asilimia 8 kwa mwaka.
these results are spectacular: in less than ten years, more than one million people have been lifted from extreme poverty and the country has seen a stable economic growth rate of 8 percent per year.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hivi majuzi zaidi, michanganyiko inayotumia kloraidi ya benzalkonium imeonyeshwa kuwa na shughuli thabiti na ya kijumla dhidi ya viini baada ya kutumika, ikilinganishwa na alkoholi, ambayo imeonyeshwa kupungua katika ufanisi wake baada ya kutumika kwa muda, pengine kutokana na kuendelea kusababisha matatizo mabaya ya ngozi.
more recently, formulations that use benzalkonium chloride have been shown to have persistent and cumulative antimicrobial activity after application, unlike alcohol, which has been shown to decrease in efficacy after repeated use, probably due to progressive adverse skin reactions.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Enkele menselijke vertalingen met lage relevantie werden verborgen.
Toon lage-relevantie resultaten.