Je was op zoek naar: naogopa kwasababu unawasichana wengi sana (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

naogopa kwasababu unawasichana wengi sana

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

watu wengi sana walisabishiwa kifo.

Engels

so many people were forced towards death.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

nimeona kuwa kuna watu wengi sana katika maeneo mbalimbali nchini wanaoendelea na maandamano.

Engels

i saw that there are so many people in various parts of the country who are raising their protest.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

basi, yesu akaondoka pamoja naye. watu wengi sana wakamfuata, wakawa wanamsonga kila upande.

Engels

and jesus went with him; and much people followed him, and thronged him.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

latakia kuna watu wa alawite wengi sana na wengi wao walikuwa wanauunga mkono utawala ulioko madarakani.

Engels

latakia is full of alawites, and most of them were supporting the regime.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

basi, wakaja watu wengi sana hata nafasi yoyote ikakosekana mlangoni. yesu alikuwa akiwahubiria ujumbe wake,

Engels

and straightway many were gathered together, insomuch that there was no room to receive them, no, not so much as about the door: and he preached the word unto them.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

video yake hiyo ilipata watembeleaji wengi sana muda mfupi tu tangu ichapishwe na vilevile maelfu waliibofya kwenye youtube.

Engels

the video hit a “viral” stage within hours after its publication with several hundreds of thousands of clicks on youtube.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ndani ya miezi miwili iliyopita nimepata marafiki wengi sana, hasa wahindi kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi walio katika kozi ninayochukua.

Engels

for the past two months i made a lot of friends, mainly indians given the demographics of the student body in my program.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

wanablogu kadhaa walitoa taarifa za kuwepo kwa wanyang'anyi wengi sana (mara nyingine wakiwa wamebeba silaha).

Engels

various bloggers reported omni-presence of looters (sometimes armed).

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

watu wengi sana wakamjia wakiwaleta vilema, vipofu, viwete, bubu na wengine wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaweka mbele ya miguu yake, naye yesu akawaponya.

Engels

and great multitudes came unto him, having with them those that were lame, blind, dumb, maimed, and many others, and cast them down at jesus' feet; and he healed them:

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kisha nikatazama, nikasikia sauti ya malaika wengi sana, idadi isiyohesabika, maelfu na maelfu. walikuwa wamekaa kuzunguka kiti cha enzi, vile viumbe hai vinne na wale wazee;

Engels

and i beheld, and i heard the voice of many angels round about the throne and the beasts and the elders: and the number of them was ten thousand times ten thousand, and thousands of thousands;

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

wakati wa vita kati ya nepal na tibet vya kati ya miaka ya 1855 hadi1856, watu wengi sana wa kutoka pande zote mbili walipoteza maisha.mara baada ya vita, wanajeshi wa haibung walirejea kwenye vijji vyao na kupanda mti huu kama kumbukumbu ya wenzao waliopoteza maisha na kama ishara ya kutubu kufuatia mauaji ya maelfu ya waliokuwa wapinzani wao.

Engels

during the nepal tibet war between 1855 to 1856 lots of lives were lost on both fronts. after the war the soldiers of haibung returned to their village and planted this tree to remember their fallen warriors and to mend their sins of killing thousands of their counterparts.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,774,786,169 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK