Je was op zoek naar: nenda url kwenye kompyuta yako (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

nenda url kwenye kompyuta yako

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

kusikiliza kupitia kwenye kompyuta ilisikitisha sana.

Engels

listening to the pc was painful.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kitabu kinaitwa 'games for kids of the world' na kinaweza kupatikana kwa bure kwenye ipad, mac au kwenye kompyuta.

Engels

the book is called games for kids of the world and can be downloaded for free on ipad, mac or pc.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ni kweli, kitabu cha kidijitali ni faili tu na sio kitu, lakini je nikikiweka kitabu kwenye kompyuta yangu au kifaa kingine cha kukisomea badala ya kukiweka kwenye kabati, hiyo inakifanya kisiwe na hadhi ya kitabu?

Engels

it is true, an e-book is a file and not an object, but does it make a book less of a book if i keep it on my computer or my e-reader rather than on the book shelf?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

shukrani kwa mtandao wa twita unaonukuu uhariri wowote unaofanywa kwenye kamusi elezo ya wikipedia unaofanywa na alama za utambulisho wa kompyuta zinazotumiwa na serikali ya urusi, kwani sasa tunafahamu kuwa uhariri huo wa pili kwa makala hiyo ya mh17 ulitoka kwenye kompyuta iliyoko kwenyekituo cha televisheni la taifa la urusi.

Engels

thanks to a twitter bot that tracks anonymous wikipedia edits made from ip addresses used by the russian government, we know that the second edit to the mh17 article came from a computer at vgtrk, the all-russia state television and radio broadcasting company.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kama uko mbioni kwenda kwenye mapumziko na unafikiri kuchukua kompyuta yako na kuiunganisha na mtandao wa intaneti wa siwaya (wi-fi) au kutumia kompyuta ambazo zinapatikana kwenye hoteli au kwenye eneo lolote la umma, unahitaji kusoma makala hii yenye dondoo 13 za kulinda taarifa zako, kama ilivyochapishwa na andrea kwenye blogu yake:

Engels

if you are about to go on holiday and you are thinking of taking your computer and get connected to wi-fi or using computers that are available in hotels and other public places, you must read this post with 13 tips to protect data, as published by andrea on her blog:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

akaunti ya twita iliyogundua matumizi ya mtandao wa intaneti yaliyofanywa na vgtrk, @rugovedits, imetengenezwa na zana (bot) nyingine, @congressedits, ambayo hufuatilia uhariri unaofanywa na wikipedia kutoka kwenye kompyuta za bunge la marekani.

Engels

the twitter account that discovered vgtrk’s internet activity, @rugovedits, is modeled on another bot, @congressedits, which tracks wikipedia edits made from ip addresses in the us congress.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,762,041,327 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK