Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
kisha nikawaona wale malaika saba wanaosimama mbele ya mungu wamepewa tarumbeta saba.
and i saw the seven angels which stood before god; and to them were given seven trumpets.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
baada ya hayo nikawaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za dunia wakishika pepo nne za dunia ili upepo usivume hata kidogo: wala katika nchi, wala baharini, wala kwenye miti.
and after these things i saw four angels standing on the four corners of the earth, holding the four winds of the earth, that the wind should not blow on the earth, nor on the sea, nor on any tree.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kisha nikaona kitu kama bahari ya kioo, imechanganywa na moto. nikawaona pia wale watu waliomshinda yule mnyama na sanamu yake na ambaye jina lake lilitajwa kwa ile tarakimu. watu hao walikuwa wamesimama kando ya hiyo bahari ya kioo, wakiwa na vinubi walivyopewa na mungu.
and i saw as it were a sea of glass mingled with fire: and them that had gotten the victory over the beast, and over his image, and over his mark, and over the number of his name, stand on the sea of glass, having the harps of god.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kisha nikawaona watu wakubwa na wadogo, wamesimama mbele ya kiti cha enzi, na vitabu vikafunguliwa. halafu kitabu kingine, yaani kitabu cha uzima, kikafunguliwa pia. wafu wakahukumiwa kadiri ya matendo yao, kama ilivyoandikwa ndani ya vitabu hivyo.
and i saw the dead, small and great, stand before god; and the books were opened: and another book was opened, which is the book of life: and the dead were judged out of those things which were written in the books, according to their works.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: