Je was op zoek naar: ondoa kwenye orodha (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

ondoa kwenye orodha

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

mabalozi wengine wataongezwa kwenye orodha:

Engels

more ambassador videos are on their way and will be added to the playlist:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

una suala la ziada kwenye orodha hiyo?

Engels

if you like data, this blog is for you. have an addition to this list?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

etv imefanikiwa kuingia kwenye orodha ya kimataifa ya umoja wa mataifa

Engels

etv made it to the un international days list. #etvday in #etvstyle.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kwenye orodha ya tovuti maarufu, kuna mabadiliko kadhaa kama unavyoona hapa.

Engels

on the websites popularity front, there are a few changes as well.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

na kwa sasa, jina la thomaching marma linajumuishwa kwenye orodha hii inayoendelea kukua.

Engels

thomaching marma’s name is now added to this ever-growing list.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ben kiruthi, ku, kenya today na kopo kopo zimeingia kwenye orodha ya 50 bora.

Engels

ben kiruthi, ku, kenya today and kopo kopo have joined the top 50 ranking.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

maldivi ni miongoni mwa nchi za kwanza kwenye orodha ya serikali zinazozuia uhuru wa dini.

Engels

the maldives ranks high on the list of governments that restrict religious freedom.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hata hivyo, bado anajiuliza kama kweli alistahili kushika nafsi ya kwanza kwenye orodha hiyo.

Engels

but she still wonders if he deserves to come first in the list.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

watumiaji wa kiitalia wa mtandao wa flipboard wataikuta global voices ikiwa kwenye orodha ya habari zinazopendekezwa.

Engels

italian users of flipboard will find global voices listed prominently in the news section of recommended feeds.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

nilimkabidhi ofisa kadi yangu ya usajili, naye akamkabidhi ofisa mwingine wakati akilitafuta jina langu kwenye orodha.

Engels

i handed the official my registration card, and he passed it to another official while he searched for my name on the list.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

huenda ni kwa mara ya kwanza kabisa, china haionekani kwenye orodha yetu ya makala 20 bora zaidi kwa mwaka huu.

Engels

perhaps for the first time ever, china doesn't figure on our top 20 list of the year.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

macedonia, nchi iliyo kwenye orodha ya nchi masikini kabisa barani ulaya, kila mwananchi mmoja kati ya watatu anaishi chini ya mstari wa umasikini .

Engels

in macedonia, ranked among the poorest countries in europe, every third citizen lives below the poverty line .

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

zaidi ya migahawa 2,000 inayomilikiwa na waislamu nchini malaysia imeondoa coca-cola kwenye orodha za vyakula katika jitihada za kuunga mkono migomo dhidi ya israeli.

Engels

over 2,000 muslim-owned restaurants in malaysia have taken coca-cola off the menu in an effort to support global boycotts against israel.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kipindi cha siku 45 ilizopewa bunge kutafakari taarifa hiyo kimekwisha, na waziri wa nchi ametoa uamuzi wa mwisho wa kuiondoa cuba kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi kuanzia leo, mei 29, 2015.

Engels

the 45-day congressional pre-notification period has expired, and the secretary of state has made the final decision to rescind cuba’s designation as a state sponsor of terrorism, effective today, may 29, 2015.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lowassa alikihama chama tawala mapema mwisho wa mwezi julai mara baada ya kuenguliwa kwenye orodha ya wawania kiti cha urais kupitia chama tawala chama cha mapinduzi (ccm).

Engels

lowassa defected in late july after he was eliminated from the list of presidential aspirants for the ruling party chama cha mapinduzi (ccm).

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

katika video iliotolewa jumatatu, agosti 12, timu ya soka ya grêmio of porto alegre ilileta pamoja baadhi ya wachezaji muhimu kwenye orodha ya majina yake, weupe na weusi, kwa majadiliano juu ya ubaguzi wa rangi.

Engels

in a video released monday, august 12, the soccer team grêmio of porto alegre brought together some of the key players on its roster, white and black, to talk about racism.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kadhalika, katika blogu didish report ya bloga wa ki-irani aishiye nchini kanada arashi kamangir ambayo hutafiti tovuti zenye viungo kuelekea tovuti nyingine, inaonyesha kiudhabiti kuwa tupo juu kwenye orodha ya tovuti inayopata viungo kuwaelekea.

Engels

in addition, canada-based iranian blogger, arash kamangir's didish report, which searches iranian site feeds for links to other sites, consistently shows that we are at the top of the list for receiving links.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

marekani imeiondoa cuba kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi siku ya ijumaa, hadhi zinazopewa nchi, kwa mujibu wa marekani, ambazo zina kawaida ya kuwezesha vitendo vya ngazi ya kimataifa vilivyopangwa, na vyenye lengo la kupambana kisiasa na raia wasio na silaha.

Engels

the united states of america formally dropped cuba from its state sponsors of terrorism list friday, a designation reserved for nations that, according to the us government, repeatedly provide support for international acts of premeditated, politically motivated violence against non-combatants.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

language log anasema kwamba "thamani ya vuvuzela ni sawa na pointi 23 za mchezo wa bao la maandishi hata kabla ya kupewa faida - au pengine ni sawa na hivyo, kama lingeongezwa kwenye orodha rasmi ya maneno."

Engels

language log notes that vuvuzela "is woth 23 scrabble points even before bonuses — or would be, if it were added to the official word list."

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

hivyo, mnamo aprili 14, rais alitoa hoja kwenye bunge kuomba taarifa inayoonesha nia ya utawala wake kuiondoa cuba kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi, ikiwa ni pamoja na uthibitisho kwamba cuba haijatoa ushirikiano wowote kuwezesha ugaidi wa kimataifa katika kipindi cha miezi sita; na kwamba cuba imetoa uhakikisho kwamba haitawezesha vitendo vya ugaidi wa kimataifa katika siku zijazo.

Engels

accordingly, on april 14, the president submitted to congress the statutorily required report indicating the administration’s intent to rescind cuba’s state sponsor of terrorism designation, including the certification that cuba has not provided any support for international terrorism during the previous six-months; and that cuba has provided assurances that it will not support acts of international terrorism in the future.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,788,064,320 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK