Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
na sijui aliko!
and i don't know where is he!!
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mimi ni mzuri na sijui
Laatste Update: 2021-02-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
hang out na marafiki
hang out with friends
Laatste Update: 2020-08-07
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
wazo hili si letu, limekuwepo kwa muda sasa na sijui nani hasa alilianzisha.
this idea is not ours, it has already existed for some time and i don't know who started it exactly.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
aah vipi mizigo umesha weka tayari mh aah sijechelewa nikaja achwa na gari mh aah basi jikaze usilie mpenzi aah mi nitarudi niombee kwa mwenyezi aah zile taabu na njaa msimu mzima mavuno hakuna hua nakosa raha pale mkikosa cha kutafuna roho yangu inauma sema nitafanya nini na pesa sina nakuonea na huruma bora niende mjini kusaka tumaa kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea wadanganye na vibagia waambie pipi nitawaletea kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea na usichoke kuvumilia na kila siku kuniombea wewe unajua kwamba nafsi na roho vitakuwa na wasiwasi upweke na moyo utajawa na simanzi nitapo kuwa nakwenda shambani alafu niko peke yangu honey nitapo kuja kuwa na majirani nitaumia aah pale ninapotoka kisimani ama nipo na kuni kichwani sina wa kunitua nyumbani nitalia maneno yako yananifanya nakosa raha na mawazo hata mwenzako sijawahi kufika dar huu ndo mwanzo vile nakwenda na sijui pa kukaa wala mavazi ooh we niombee niepushwe na balaa na maradhi ooh eeh kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea wadanganye na vibagia waambie pipi nitawaletea kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea na usichoke kuvumilia na kila siku kuniombea unapokwenda kama ukifika salama utukumbuke na sisi usisahau kwaba mkeo na wana umetuacha na dhiki hilo usijali ila naomba chunga sana ogopa na marafiki wakikulagai hata kwa mbegu za mtama waambie sidanganyiki unapokwenda kama ukifika salama utukumbuke na sisi kumbuka mkeo nyumbani na wana umetuacha na dhiki hilo usijali ila naomba chunga sana ogopa na marafiki wakikulagai hata kwa mbegu za mtama waambie sidanganyiki eeeh eeeh oooh nitarejea mama niombee nirudi salama oooh watoto wadanganye iih uuh uuh aah tozalee zijaee hmm kamaaa… kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) wadanganye (uuh wadanganyee) na vibagia waambie pipi nitawaletea kama watoto wakinililia (kamaa)waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) na usichoke kuvumilia (usichoke) na kila siku kuniombea (nirudi salama)
query length limit excedeed. max allowed query : 500 chars
Laatste Update: 2017-12-19
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: