Je was op zoek naar: pamoja na kwamba umeajiriwa ila mshahara hau... (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

pamoja na kwamba umeajiriwa ila mshahara hautoshi

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

pamoja na kwamba kombe la dunia linahusu mpira, vile vile kombe hilo linahusu jamii ya mpira wa dunia na kuzijua tamaduni mpya za mpira.

Engels

as much as the world cup is about football it is also about the global football community and exploring new footballing cultures.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

pamoja na malalamiko kutoka upinzani, waangaliaji wa uchaguzi walisema kuwa upigaji kura ufanyika kwa amani, na kwamba idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura ilikuwa ndogo.

Engels

despite protests from the opposition, election observers said the voting was peaceful, and that voter turnout was low.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ilifikiriwa kwamba jambo hili huenda litasaida kufanya wanablogu wajipatie kipato cha ziada pamoja na kwamba sicho kitu wanachokisaka kwa udi na uvumba, lakini bado itawapatia wanablogu kifuta jasho.

Engels

this, it was noted, would be more effective and would earn bloggers that extra penny which though not sought desperately, would afford bloggers some stipend.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

na kuna ushahidi mwingi sana katika maisha ya mtu huyu kwamba aliweza mbali zaidi ya upeo kiasi kwamba pamoja na kwamba tayari yumo kaburini lakini ana nguvu kubwa katika maamuzi ya mambo mengi.

Engels

and there is plenty of proof in the man’s life that he was able to see extremely far into the horizon so much so that he still holds great sway even from the grave.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

(sisi) tulisoma habari hiyo katika mtandao wa intaneti kuhusiana na vurugu karibu na nyumba ya watawa huko kampung pamoja na selayang na kwamba baadhi ya watu wa mynmar walipoteza maisha.

Engels

(we) read the news on the internet about the clashes near a myanmar monastery at kampung and selayang and that some myanmar nationals died.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

pamoja na vikwazo vyote hatimaye wayukpa walifaulu kujipenyeza katika vikwazo vyote vya kuwasiliana na kuifikia jumuiya ya machique mnamo tarehe 26 agosti 2008, na hapo hugo chávez ametangaza kwamba ardhi hiyo haina budi kurejeshwa na kwamba haki za wenyeji wa eneo hilo hazina budi kuheshimiwa.

Engels

finally the yukpa broke through the communication blocks, have gotten through to the media and have reached the community of machique on august 26th 2008, and hugo chávez has declared that these lands should be given back and the indigenous community's rights should be respected.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

inanishangaza kwamba, pamoja na mazungumzo yote kuhusu kuongeza uzalishaji wa umeme, hakuna anayetaka kukiri kuona kuwa inawezekana kabisa kuwa ukiritimba wa serikali na vitendo vya ufisadi ni tatizo, na kwamba mabilioni yanayokwenda serikalini yanakuza ufisadi tu, yakisaidia walengwa kwa kiasi kidogo sana.

Engels

it amazes me that, with all of the talk about increasing electricity production, nobody wants to admit into the discussion the possibility that government monopolies and corruption are the problem, and that billions more in money transferred to governments will only entrench the corruption further, with little benefit for the people.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

basi, wakawatuma wafuasi wao pamoja na wafuasi wa kikundi cha herode. wakamwuliza, "mwalimu, tunajua kwamba wewe ni mtu mwaminifu, na kwamba wafundisha njia ya mungu kwa uaminifu; humwogopi mtu yeyote, maana cheo cha mtu si kitu kwako.

Engels

and they sent out unto him their disciples with the herodians, saying, master, we know that thou art true, and teachest the way of god in truth, neither carest thou for any man: for thou regardest not the person of men.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

hivyo, mnamo aprili 14, rais alitoa hoja kwenye bunge kuomba taarifa inayoonesha nia ya utawala wake kuiondoa cuba kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi, ikiwa ni pamoja na uthibitisho kwamba cuba haijatoa ushirikiano wowote kuwezesha ugaidi wa kimataifa katika kipindi cha miezi sita; na kwamba cuba imetoa uhakikisho kwamba haitawezesha vitendo vya ugaidi wa kimataifa katika siku zijazo.

Engels

accordingly, on april 14, the president submitted to congress the statutorily required report indicating the administration’s intent to rescind cuba’s state sponsor of terrorism designation, including the certification that cuba has not provided any support for international terrorism during the previous six-months; and that cuba has provided assurances that it will not support acts of international terrorism in the future.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hivi sasa kuna ushahidi kuwa misri inaisaidia israel katika kuitenga hamas, na kwamba mubarak hana jingine zaidi ya chuki dhidi ya jamaa ya kiislamu (muslim brotherhood) pamoja na kutowaamini kabisa waqatar na wasyria, na kuwa ghuba yote ya uarabuni, pamoja na qatar wamechoka na uongo wa irani na wangependa kuiona irani imetoweka au imenyang’anywa silaha na kwamba kwa siri wangeunga mkono shambulio ldhidi ya iran kutoka ama kwa marekani au kwa israel.

Engels

there is now evidence that egypt is aiding israel in isolating hamas, that mubarak has nothing but utter hatred for the muslim brotherhood and utter distrust towards qataris and syrians, that the entirety of the arab gulf region, including qatar, are weary of iran’s lies and would love to see iran gone or disarmed, and that they all would secretly support a strike on iran from either the us or israel.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Enkele menselijke vertalingen met lage relevantie werden verborgen.
Toon lage-relevantie resultaten.

Krijg een betere vertaling met
7,761,661,852 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK