Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
"kwa hakika, nchi ambayo mpaka wake ndiko tukio hili limetokea inawajibika kwa janga hili janga hili lisingetokea kama pangekuwa na amani kwenye nchi hiyo, kama mapigano yasingeibuka tena kusini mashariki mwa ukraine."
"certainly, the state over whose territory this occurred bears responsibility for this terrible tragedy. this tragedy would not have occurred if there were peace in this land, if the fighting had not renewed in the south-east of ukraine."
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
venuste, aliyeonekana kuwa na umri wa kati ya miaka 50 hadi 60, huku akitembea kwa mwendo wa madaha, aliusimulia umati uliojazana jinsi gani familia yake na majirani zao walivyoamua kukimbilia katika kituo kilichokuwa karibu cha l’ecole technique officielle, wakitumaini kwamba hapo pangekuwa na usalama kwao kwa kuwa kulikuwa na kikosi kidogo cha wabelgiji chini ya umaja wa mataifa.
venuste, who looked to be in his 50s or 60s, with a dignified bearing, proceeded to tell the hushed crowd how his family and neighbors decided to take refuge at the nearby l’ecole technique officielle, thinking that might be a safe refuge because of the small contingent of belgian united nations soldiers stationed there.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: