Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
pole mwenzangu mungu
all my life is god's
Laatste Update: 2023-09-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kombe la dunia ni la kila mmoja, si kwa wapuliza mavuvuzela peke yao.
the world cup is for everyone, not just the vuvuzela blowers.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
dunia ni dunia, sayari ya tatu kutoka kwenye jua katika mfumo huu wa jua.
the earth is the earth, the third planet in the solar system.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
sema: starehe ya dunia ni ndogo, na akhera ni bora zaidi kwa mwenye kuchamngu.
say, the enjoyment of this world is little, and the hereafter is better for he who fears allah.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hakika haya maisha ya dunia ni starehe ipitayo tu, na hakika akhera ndiyo nyumba ya daima.
lo! this life of the world is but a passing comfort, and lo! the hereafter, that is the enduring home.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kama basi, ninyi si hamjawa waaminifu mali mbaya za dunia, ni nani atakayewakabidhi zile mali za kweli?
if therefore ye have not been faithful in the unrighteous mammon, who will commit to your trust the true riches?
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
enyi watu wangu! hakika haya maisha ya dunia ni starehe ipitayo tu, na hakika akhera ndiyo nyumba ya daima.
my people, the life of this world is ephemeral, whereas the hereafter, that is the permanent abode.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
au dunia ni ngumu kueleweka zaidi kuliko “watu wema” au “wabaya” wanavyoweza kueleweka?
or is the world really more complex than 'good guys' and 'bad guys'?
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto.
know that the life of this world is but play and an amusement, and adornment, and a cause for boasting among you, a rivalry for greater riches and children.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mungu ameyachagua yale ambayo kwa fikira za dunia ni mambo yaliyo duni na yanayodharauliwa, mambo ambayo hata hayakuwako, ili kwa hayo ayafutilie mbali yale ambayo kwa fikira za binadamu ni mambo ya maana.
and base things of the world, and things which are despised, hath god chosen, yea, and things which are not, to bring to nought things that are:
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
siku ya kuosha mikono ya dunia ni mfano mwingine wa kampeni ya kuongeza ufahamu inayojaribu kuleta mabadiliko ya tabia.kutokana na janga kuu la virusi vya korona la 2019-20, unicef iliboresha kutumika kwa emoji ya kunawa mikono.
global hand washing day is another example of an awareness-raising campaign that is trying to achieve behavior change.as a result of the 2019-20 coronavirus pandemic, unicef promoted the adoption of a handwashing emoji.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto. mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake, kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua.
know that the life of the world is but a play and a pastime, and an adornment and a self-glorification among you and vying in respect of riches and children; as the likeness of vegetation after rains whereof the growth pleaseth the husbandmen, then it withereth and thou seest it becoming yellow, then it becometh chaff.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tuliyo yateremsha kutoka mbinguni, kisha yakachanganyika na mimea ya ardhi wanayo ila watu na wanyama. mpaka ardhi ilipo kamilika uzuri wake, na ikapambika, na wenyewe wakadhani wamesha iweza, iliifikia amri yetu usiku au mchana, tukaifanya kama iliyo fyekwa - kama kwamba haikuwapo jana.
the example of [this] worldly life is but like rain which we have sent down from the sky that the plants of the earth absorb - [those] from which men and livestock eat - until, when the earth has taken on its adornment and is beautified and its people suppose that they have capability over it, there comes to it our command by night or by day, and we make it as a harvest, as if it had not flourished yesterday.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: