Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
rafiki zangu
my friend
Laatste Update: 2014-10-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
tafadhali nisameheni rafiki zangu.
please forgive me my dear ones.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
habari za asubuhi ma rafiki zangu
good morning friends
Laatste Update: 2022-09-19
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
furaha ya kukutana na wewe rafiki zangu
you be my best friend since i met you
Laatste Update: 2023-11-09
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
lakini rafiki zangu wapendwa, huu ni mchakato, ambao unaendelea.
but dear friends, it is just a process, which goes on and on.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
kwa kipindi hicho, nilikuwa nikitamani sana kukutana na rafiki zangu wa mtandaoni.
at that time, i always longed to meet my online friends.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
@jenanmoussa: ni jambo kubwa sana kurudi allepo, kukutana na rafiki zangu.
@jenanmoussa: its great to be back in #aleppo & meet all my friends.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
sijui kama mimi nilie kwa sababu ya mauaji yaliyofanywa na walinzi wa serikali au shauri ya rafiki zangu 11 walioko kizuizini
i don't know if i should cry on the massacre committed by the republican guards or on my 11 detained friends
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
gaza haitafuti aspirini kutibu jeraha lake, rafiki zangu, gaza haitafuti bandeji kwa ajili kuziba mtiririko wa damu.
gaza is not searching for an aspirin for its bloody wound, my friends, gaza is not searching for a bandage for its continuous bleeding.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
rafiki zangu, kuna wakati katika historia ya taifa ambapo kila kitu huonekana kimepotezwa na nguvu za kiza zimeshinda vita kuu ya mwisho.
but friends, there are times in history of a nation when all seem lost and looks like wrong forces have won the final battle.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
rafiki zangu, siwezi kuwa na habari za uhakika, lakini watu wa sehemu hiyo walisema kila kitu na kila mmoja amezuia kufanya chochote kuzunguka iversky.
friends, i cannot vouch for the accuracy of the facts, but locals reported the fso blocked off everything and everyone around iversky.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
rafiki zangu *wanataka kuwepo mabarabarani.* ni wazazi, wafanyakazi wa serikali, wahasibu, wapokezi, naam na wanafunzi pia.
my friends *want to be on the streets.* they are parents, civil servants, accountants, receptionists, and yes students.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
"nimekuwa nikitaka kuwa huru na kuacha kumtegemea baba yangu kwa fedha za kujikimu au kuwategemea rafiki zangu wa kiume au kaka na watu kama hao," anasema.
"i always wanted to be free and not depend on my father for pocket money or eventually my boyfriends or brother and that sort of thing," she says.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
hivi, wale rafiki zangu hivi sasa wamekuwa wakubwa kiasi gani, na pengine mimi nimeishia tu kuwa moja ya simulizi kwa watoto wao...mungu wangu, hata sikupata fursa ya kushiriki kwenye harusi zao.
and perhaps the scent of thyme has changed… how old my friends have grown, and i have become just a story for their children… goodness me, i didn't even attend their weddings.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
niliwasili, pamoja na baadhi ya rafiki zangu, katika uwanja mkubwa wenye uwezo wa kubeba watu 60,000 -uwanja wa taifa wa benjamin william mkapa yapata saa moja kabla ya saa kumi kamili mpira kuanza.
i arrived, with some friends, at the fantastic, 60,000-capacity benjamin william mkapa national stadium about an hour before the 4pm kick-off.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
lakini yeye akamjibu: kumbuka! miaka yote nimekutumikia, sijavunja amri yako hata mara moja. umenipa nini? hujanipa hata mwana mbuzi mmoja nikafanye sherehe pamoja na rafiki zangu!
and he answering said to his father, lo, these many years do i serve thee, neither transgressed i at any time thy commandment: and yet thou never gavest me a kid, that i might make merry with my friends:
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: