Je was op zoek naar: shirikishi (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

shirikishi

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

usimamizi shirikishi

Engels

level integrated

Laatste Update: 2021-02-15
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

namita singh ni mtafiti na mshauri anayechunguza vyombo vya habari shirikishi.

Engels

namita singh is a researcher and consultant focused on participatory media.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

taswira nyingine nyingi siyo shirikishi, lakini pengine zinatoa mtazamo mpana kuhusu hali ilivyo.

Engels

most other imagery is not interactive, but arguably gives a broader overview of the situation.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

kwa pamoja, tutaifanya singapore kuwa jamii ya kusisimua na shirikishi, yenye nafasi za maisha bora kwa kila raia.

Engels

together, we will make singapore a vibrant and inclusive society, with opportunities for a better life for each and every citizen.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

kile kitakachotokea kutoka katika mazingira ya uanahabari duniani yaliyo na demokrasia zaidi kidogo, yaliyo wazi na shirikishi bado hakijajulikana wazi.

Engels

what might result from a slightly more democratic, open, and participatory global media environment is not clear.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

ushahidi kampuni ya teknolojia isiyoendeshwa kibiashara iliyobobea katika kutengeneza zana huru za bure kwa ajili ya kukusanya na kutazama habari pamoja na utengenezaji shirikishi wa michoro.

Engels

ushahidi is a non-profit technology company that specializes in developing free and open source software for information collection, visualization and interactive mapping.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

mtandao wa ushahidi umetengeneza ramani shirikishi inayotanda juu ya taarifa za vitisho, watu wanaohitaji misaada, huduma za matibabu, chakula pamoja na misaada mingine.

Engels

the ushahidi network has created a very detailed interactive map overlaying information on threats, people needing assistance, medical care, food and other aid availability by type.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

namita anatarajia kuanza masomo yake ya shahada ya uzamivu (ph.d) ya utafiti huko uingereza kuhusu michakato na taathira ya video shirikishi.

Engels

namita will soon begin her ph.d. research in the uk on the processes and impact of participatory video.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

lakini roho ya ya gv ni mamia ya watu wanaojitolea ambao wanatenga muda kutoka kwenye kazi zao, masomo, na majukumu ya kifamilia ili kusaidia kujenga majadiliano ya umma wa dunia yaliyo huru zaidi na shirikishi.

Engels

but the soul of gv are the hundreds of volunteers who take time out from their jobs, studies, and and family obligations to help build a more open and participatory global public discourse.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

mifano hii inaonyesha jinsi gani jukwaa hili pamoja na zana shirikishi za kwenye mtandao zitakavyoweza kutumiwa katika miaka ijayo.bila kujali kama (zana hii) itasambaa haraka “kama virusi” na kujulikana sana, eleitor 2010 pamoja na zana nyingine za uwazi vimeshakuwa nguvu ya mabadiliko katika mwaka huu wa uchaguzi.

Engels

these examples indicate how this platform and online, participatory tools will be of use in years to come. no matter whether it goes “viral” and becomes a household name, eleitor 2010 and other transparency initiatives have already become game-changers this election year.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
7,748,207,070 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK