Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
mwaka ujao
next year
Laatste Update: 2024-04-18
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
uchaguzi unafanyika mwaka ujao.
elections are coming up next year.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hautakuwa mpira wa afrika kusini mwaka ujao.
this is not south african football next year.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
uchaguzi wa mwaka ujao utakuwa mtihani muhimu kwa nchi ya burundi.
next year’s elections will be a key test for burundi.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
wakati huu mgumu haujamsaidia banda ambaye anayejiandaa kuchaguliwa tena mwaka ujao.
the ordeal has not helped banda, who is up for re-election next year.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
rais mujica anatarajiwa kutia saini sheria, ambayo itakuwa na ufanisi kuanzia mwaka ujao.
president mujica is expected to sign the law, which would become effective starting next year.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mchuano huo utaamua ipi kati ya timu hizo zitafaulu kwenda kwenye kombe la dunia la fifa afrika ya kusini mwaka ujao.
the encounter will determine which of both teams will qualify to next year's fifa world cup in south africa.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ukweli ni kwamba afrika kusini inaandaa tu mashindano haya, na inajitahidi sana kupata wageni wa kimataifa kuja afrika kusini mwaka ujao.
the fact is that sa is only hosting the tourno, and trying hard to get as many international visitors to sa next year.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa mara ya kwanza nilijaribu kulipuliza vuvuzela wiki mbili zilozopita, mwanzoni mwa kombe la mabara ambalo lilifanyika afrika kusini kabla ya kombe la dunia la mwaka ujao.
i first tried to blow a vuvuzela two weeks ago, at the start of the confederations cup which has been held in south africa ahead of next year’s world cup.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ikiwa imelengwa kupanua mukhtadha na kukuza malengo ya global voices, this mkusanyiko huu wa posti za mwaka 2012 utajaribu kuelezea muundo huo changamani na kufungua upeo kwa ajili ya mwaka ujao.
aimed at providing a larger context and fostering the global voices mission, this collection of 2012 posts will try to parse out such complex framework and open up the horizon for the upcoming year.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mtawala wa muda mrefu wa zimbambwe, robert mugabe, 87, alipitishwa mwishoni mwa wiki iliyopita na chama chake cha zanu –pf, kuwa mgombea wao kwa uchaguzi wa rais unaotegemewa kufanyika mwaka ujao.
zimbabwe's long-time ruler, robert mugabe, 87, was endorsed last weekend by his party, the zimbabwe african national union-patriotic front (zanu-pf), as their candidate for the presidential elections expected next year.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: