Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
ubaguzi wa kijinsia
gender stereotype
Laatste Update: 2022-02-15
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
kusudi la vuguvugu hilo ni kupunguza ubaguzi wa kijinsia katika sekta ya kilimo.
the initiative aims to alleviate gender discrimination within the agricultural sector.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
moja ya mafanikio makubwa ya nchi ya rwanda ni kukua kwa usawa wa kijinsia katika maeneo mengi.
one of rwanda's most remarkable achievements is the progress of gender equality in numerous areas.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
habari zinapatikana katika lugha za kiingereza, kijerumani, na kifaransa katika mwonekano wa tovuti ya balkans.
the stories are available in english, german, and french on the face the balkans website.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
* maneno swahiba na rafiki yamekuwa na maana sawa katika lugha za kislavik, kama kimasedonia, kiserbia, kikroashia, kiboznia…..
* the words friend and comrade are synonyms in most south slavic languages, such as macedonian, serbian, croatian, bosnian...
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
kutengwa kwa wavulana kumedhoofisha ndoto ya kufikia usawa wa kijinsia ambao bado ni wasiwasi duniani. ubaguzi wa mtoto wa kiume unajidhihirisha katika hali ya chini ya kujithamini na umesababisha mengi kupitia jamii
the exclusion of boys has crippled the dream to achieve gender equality which remains a global concern. the discrimination of the male child manifests itself in low self esteem and has led to a lot through the society
Laatste Update: 2023-02-26
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
kampeni hiyo inarushwa hewani katika lugha za kihindi, kimarathi, gujarati, kitamil, kitelugu, kikannada, malayalam, kibengali, kiassam pamoja na kioriya ili kwamba iufikie umma.”
the ad campaign is being aired in hindi, marathi, gujarati, tamil, telugu, kannada, malayalam, bengali, assamese and oriya so that it can reach out to the masses."
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
baada ya habari kupokelewa katika lugha ya kiingereza kutoka kwa waandishi ambao wako kwenye ajira ya muda, inatafsiriwa katika lugha za ki-urdu na katibis - wataalamu wa mwandiko, wanaoenzi mwandiko wa toka zama za kale wa ki-urdu, wanaindika habari yote kwa mkono.
after the news is received in english from its part time reporters, it is translated into urdu and katibs – writers, dedicated to the ancient art of urdu calligraphy, pen – down the whole story on paper.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
meena, fanani katika katuni, inaendelea kutoa hamasa kwa maisha ya watoto pamoja na kukemea unyanyapaa wa kijinsia katika jamii.... http://t.co/h5mbxhr64y — unicef bangladesh (@unicefbd) tarehe 24 disemba, 2013
animation character meena continues to influence lives of children and dispel negative social stereotypes... http://t.co/h5mbxhr64y — unicef bangladesh (@unicefbd) december 24, 2013
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
dokumentari iitwayo runa kuti iliyoshirikishwa katika mradi wa haki miliki wa “creative commons” kuhusu kutambuliwa kwa wananchi waliotokana na uzao wa wenyeji wa zamani walioishi mjini katika jiji la buenos aires, inatafuta watu wa kujitolea kusaidia kuiwekea video hiyo tafsiri ya maandishi kwenda katika lugha za asili za ajentina kama ki-quechua, ki-aymara, -kimapuche na ki-guaraní pamoja na ki-kiingereza.
the previously featured creative commons documentary runa kuti on the identity of urban dwelling indigenous descendants in the city of buenos aires is looking for volunteers to help them subtitle the documentary into indigenous languages found in argentina such quechua, aymara, mapuche and guaraní as well as into english.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: