Je was op zoek naar: ukiacha (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

ukiacha

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

hata hivyo, hakuna wahanga wengine ukiacha wale waliokuwa wameokolewa katika eneo la ajali.

Engels

however, there are no additional survivors besides those initially rescued at the accident scene.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ila, bado ni vigumu kwake kupata vitabu vya ziada ukiacha vile anavyotumiwa moja kwa moja kutoka chuoni.

Engels

but, it is still difficult for her to get supplementary books other than the books directly sent to her from the college.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ukiacha hao wawili, wageni wengine bernard lama wa ufaransa na mjerumani antoine hey hawakudumu, na walipata misukosuko mingi.

Engels

apart from the two, foreigners bernard lama of france and german antoine hey had short, trouble-laden tenures.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

tukio hilo lilifanyika kwa amani, ukiacha tukio moja tu ambapo afisa wa polisi alimbughudhi mwandishi mmoja na mwandamanaji mwingine mmoja.

Engels

the event proceeded peacefully, with one exception - a police officer harassed a journalist and protester.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ukiacha habari uchwara za magazeti, na waandishi wote wa magazeti, hakuna uthibitisho mwingine kwamba putin amewahi kukutana na kabaeva.

Engels

besides stuffing the tabloids and all the tabloid journalists, there are no other facts that putin met with kabaeva.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

madhara ya kulipuka kwa ugonjwa huu katika eneo la afrika magharibi tayari yanaonekana kwa kudorora kwa uchumi wa gambia ukiacha matatizo ya kiafya yanayoweza kujitokeza kama ugonjwa utaenea na kuingia gambia.

Engels

the impact of the ebola outbreak in west africa already having dire economic consequences to the gambia not to mention the potential health implications if the disease were to spread into the gambia.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini vyombo vya habari vya afrika magharibi, ukiacha vichache, vimekuwa vikipotea kuanzia siku ya ijumaa mchana, na kuzinduka muda wowote siku za jumatatu.

Engels

but the west african media, with a few exceptions, go into hibernation on friday afternoons and revive sometime the following monday.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ukiacha maudhui ya kiuandishi wa habari, connectas inawezeshesha waandishi wa habari kupata mafunzo hususani kwenye mbinu mahsusi na mada pamoja na kuandaa mikutano, majadiliano na mazungumzo na viongozi maarufu pamoja na watunga sera.

Engels

besides journalistic production, connectas facilitates journalist training in specialized techniques and topics and organizes meetings, forums and talks with opinion leaders and policymakers.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ukiacha nguo zenye shingo ya v, mwongozo wa mavazi umetahadharisha kuwa 'kupenda kuvaa mavazi yaliyobana na yenye rangi zinazong'aa sana' ni ishara ya ushoga.

Engels

aside from v-necks, the guidelines warned that “a preference for tight and bright coloured clothes” is an indicator of homosexuality.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

angalau, utafiti huu ni waraka tu, unaotoa mwelekeo wa hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, chini ya utawala huu, kama yanavyotazamwa kupitia maisha na uzoefu wa wapiga kura wenyewe, ukiacha ukweli ambao hauwezi kusemwa.

Engels

at least, it is a document, which provides a sort of overview of the political, economic and social issues, under this regime, as seen through the lives and experiences of voters, minus the untold truth.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,739,363,256 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK