Je was op zoek naar: zilizoidhinishwa (Swahili - Engels)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

English

Info

Swahili

zilizoidhinishwa

English

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

majaribio saba yalikuwa yakikagua dawa zilizotumika vingine na zilizoidhinishwa kutibu ugonjwa wa malaria, ikiwemo utafiti nne wa hydroxychloroquine au chloroquine phosphate.

Engels

seven trials were evaluating repurposed drugs already approved to treat malaria, including four studies on hydroxychloroquine or chloroquine phosphate.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

wakati watu wanahitaji kutoka manyumbani mwao au katika makazi yao, iwe ni kupata au kutekeleza kazi zilizotajwa hapo juu, au kuwezesha shughuli muhimu zilizoidhinishwa, wanapaswa kujitenga na watu kila wakati.

Engels

when people need to leave their homes or places of residence, whether to obtain or perform the functions above, or to otherwise facilitate authorized necessary activities, they should at all times practice social distancing.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

nchini marekani, mashine za kusaidia kupumua za uso za n95 zilizoidhinishwa na niosh au bora zaidi zinapaswa kutumiwa katika muktadha wa mpango kamili ulioandikwa wa mfumo wa upumaji ambao unajumuisha, kupima kutoshea, mafunzo, na uchunguzi wa kimatibabu.

Engels

in the united states, niosh-approved n95 filtering facepiece respirators or better must be used in the context of a comprehensive, written respiratory protection program that includes fit-testing, training, and medical exams.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hussein a a, alichuguza dawa kadhaa zilizoteuliwa, kisha akaboresha na kuchambua mfanano wao na mifupa na dawa za kiwango cha juu zilizoidhinishwa ili kuharakisha maendeleo ya dawa inayowezekana ya kuzuia sars-cov-2 na uchunguzi wake wa dawa kupendekezwa katika muundo wa uchunguzi wa kliniki.

Engels

hussein a a, et al studied several candidate compounds which then optimized and analyzed for their skeleton similarity with the highest similar approved drugs in order to accelerate a potent anti-sars-cov-2 drug development in his preclinical study to be recommended in a clinical study design.

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,790,629,084 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK