Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
siasa zetu zinakosa mwelekeo na muono mpana wa kiitikadi kututegemeza kuelekea mbele.
our politics lacks a sense of direction or grand ideological vision anchoring us forward.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
baadhi za lugha zinakosa herufi za kompyuta zinazowasaidia watumiaji kuandika kwa lugha zao, na sehemu nyingine za dunia bado hazina mtandao wa intaneti, hali inayowafanya watengwe na mazungumzo ya mtandaoni.
some languages lack a keyboard that allows users to write in their language, and many parts of the world still lack adequate connectivity, excluding them from the online conversation.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
lakini labda, pamoja na uwezekano wa kupatikana kwa msaada kutoka katika serikali nyingi, tafiti za kisayansi zinakosa uungwaji mkono na watu, hali ambayo ingeweza kusaidia kushinikiza wanasiasa kuwezesha tafiti kifedha kwa namna endelevu zaidi.
but perhaps, despite promises of help from many governments, scientific research is missing the real support of public opinion, support which would allow it to put pressure on politicians to help research in a sustainable way.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: