Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
bolivia: mshindi wa zamani wa mashindano ya urembo atangazwa kugombea ugavana wa jimbo la beni
bolivie : une ex-reine de beauté, candidate du mas à un poste de gouverneur
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
blogu hiyo inakusudia kutangaza vyema sura sahihi ya somalia kwenye vyombo vya habari na vipaji vya watu wake, masuala ya urembo na raslimali asilia.
le blog veut donner une image de la somalie plus proche de la réalité que celle véhiculée par les médias, présenter les somaliens, la beauté du pays et ses richesses.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
marekebisho ya katiba, ambayo ghana inayahitaji leo, hayapaswi kuwa ya juu ya uso au ya urembo au ya fahari ya macho bali yanatakiwa kuwa katika namna ya katiba, ambayo itakumbatia yote na itakayofikia kila nyanja ili kwamba yasipoteze fursa hii ya nadra ya mabadiliko.
les amendements constitutionnels, dont le ghana a besoin aujourd'hui, ne devraient donc pas être superficiels, de façade, mais doivent donner une constitution de portée globale afin de saisir cette rare opportunité de changement.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hali kadhalika, nawataka wanawake wawe wanyofu na wenye busara kuhusu mavazi yao; wavae sawasawa na si kwa urembo wa mitindo ya kusuka nywele, kujipamba kwa dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa,
je veux aussi que les femmes, vêtues d`une manière décente, avec pudeur et modestie, ne se parent ni de tresses, ni d`or, ni de perles, ni d`habits somptueux,
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
anaongoza kampeni inayoitwa “urembo kwa nchi yangu: mimi ni m-sierra leone kwa asilimia 100, si kirusi" akishirikiana na wenzake kama elvinah ade johnson ana haja mariatu thomas.
elle est à l'origine de la campagne "beauté du pays : je suis 100 % sierra-léonaise, je ne suis pas un virus", avec ses compatriotes elvinah ade johnson et haja mariatu thomas.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
Enkele menselijke vertalingen met lage relevantie werden verborgen.
Toon lage-relevantie resultaten.