Je was op zoek naar: kushirikishana (Swahili - Frans)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

French

Info

Swahili

kushirikishana

French

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Frans

Info

Swahili

lengo lilikuwa ni kujifunua na kushirikishana na vilevile kujiondoa kutoka katika upweke wakati wa kukabili matatizo haya.

Frans

l'objectif était de s'ouvrir, autant que d'échapper au sentiment de solitude en affrontant ces problèmes.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kama hutaweza kushirikishana na wengine taarifa za maombi yako kiuwazi kwa sababu za kiusalama, una uchaguzi wa kutuma kwa siri.

Frans

si des raisons de sécurité vous empêchent de formuler publiquement votre candidature, vous avez la possibilité de le faire de façon confidentielle.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mkutano huo utawaleta pamoja wanachama wengi wa jumuiya hii ili kuwawezesha kushirikishana uzoefu na kusaidia kuwezesha mitandao ya kirafiki miongoni mwao wenye maono yanayofanana.

Frans

cette rencontre rassemblera beaucoup des membres de cette communauté, leur permettra de partager leurs expériences, et facilitera les contacts entre tous ceux qui partagent des intérêts similaires.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kuunganisha shughuli kwa namna ambayo washiriki wanaweza kushirikishana taarifa kuhusu miradi yao wenyewe ya mtandaoni au hata maoni kwa ajili ya miradi kukuza matumizi ya mitandao ya kijamii katika kazi zao kwa kutumia uzoefu wa washiriki wengine

Frans

optimiser l'utilisation des médias sociaux dans leur travaux à partir de l'expérience d'autres participants

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mashtaka hayo yamewaudhi waindonesia mtandaoni hasa wale ambao wakuwa wakiblogu na waliokuwa katika tekinoloia ya habari kwa miaka kadhaa. tovuti ya sony ak imekuwa ikijulikana kuwa ni kituo cha kushirikishana elimu kwa wadau wa teknologia ya habari nchini indonesia na imekuwa ikifanya hivyo kwa takribani miaka 6.

Frans

ce procès a beaucoup choqué de nombreux internautes indonésiens, surtout ceux qui bloguent et qui s'intéressent aux nouvelles technologies depuis plusieurs années car le site de sony ak est connu pour être la base de partage de connaissances pour les passionnés d'informatique en indonésie depuis environ six ans.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

tukio hilo linadhaminiwa na taasisi ya maendeleo ya kimataifa ya marekani (usaid),na lengo ni kuwapa raia wa ulimwengu fursa ya kutoa maoni yao na kushirikishana fikra za ufumbuzi za kushughulikia masuala mbalimbali ya kijamii.

Frans

l'événement est sponsorisé par l'us agency for international development (usaid), dans le but de donner aux citoyens du monde une opportunité d'exprimer leurs opinions et de partager leurs idées de solutions innovantes aux problèmes de société.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

ikiwa imeandaliwa na wanachama wetu wawili mohamed el gohary (@ircpresident) na tarek amr (@gr33ndata), pamoja na wanachama wengine wa gv, mkusanyiko huo utajikita kwenye: kutoa mtazamo wa jumla wa kazi ambazo tunazifanya kwenye global voices, ikiwa ni pamoja na rising voices, advox, and lingua kushirikishana mbinu ambazo jumuiya kubwa zaidi inaweza kuhusishwa na miradi ya global voices.

Frans

le rassemblement hébergé par deux des membres de notre communauté, mohamed el gohary (@ircpresident) et tarek amr (@gr33ndata), assistés d'autres volontaires gv , mettra l'accent sur les thèmes suivants : donner un aperçu du travail fait à global voices, en incluant rising voices, advox, et lingua chercher les moyens d'impliquer la plus vaste communauté possible autour de global voices structurer en réseau nos activités de telle sorte que tous les participants puissent partager des informations sur leurs propres projets numériques ou des idées concernant d'autres projets.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,743,984,137 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK