Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
kwanza walikutana siku ya jumamosi.
ils se sont vus pour la première fois le samedi.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima.
comme déjà il descendait, ses serviteurs venant à sa rencontre, lui apportèrent cette nouvelle: ton enfant vit.
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
naam, walikutana ili wafanye yale ambayo ulikusudia na kupanga tangu mwanzo kwa uwezo wako na mapenzi yako.
pour faire tout ce que ta main et ton conseil avaient arrêté d`avance.
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
walikutana pamoja na anasi, kayafa, yohane, aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa kuhani mkuu.
avec anne, le souverain sacrificateur, caïphe, jean, alexandre, et tous ceux qui étaient de la race des principaux sacrificateurs.
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
na mkutano ulifanyika mjini buraiydah ambapo ndugu za watu waliokamatwa walikutana na kujadili njia zinazoweza kufanyika ili kuwasaidia wafungwa hao.
et un rassemblement s'est tenu à buraiydah où des proches de détenus se sont rencontrés pour parler des manières possibles de les soutenir.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
amer daoud pamoja na mke wake raghda hassan kwa mara ya kwanza walikutana na kuwa wapenzi wakiwa kama wafungwa wa kiasiasa kwenye seli za magereza ya syria takribani miaka 15 iliyopita.
amer daoud et sa femme raghda hassan se sont rencontrés et sont tombés amoureux, il y a 15 ans, alors qu'ils étaient prisonniers politiques dans les cellules d'une prison syrienne.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa sababu jos ilikuwa imeathirika sana kisiasa, wanawake hao walikutana katika 'eneo lisilo na upande' — hotelini.
la ville de jos étant si marquée politiquement, les deux femmes se sont rencontrées en "terrain neutre" - dans un restaurant.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
kufuatia mashambulizi hayo, watu wa jamii ya hazara wa kutoka quetta walikutana katika barabara ya alamdar na kisha kuanzisha maandamano ya amani ya kukaa mahali pamoja na kuishinikiza serikali kusikiliza madai yao.
suite aux attaques, des membres de la communauté hazara de quetta s'étaient rassemblés sur alamdar road et avaient entamé leur sit-in pacifique.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
walipokuwa wakimpeleka, walikutana na mtu mmoja, aitwaye simoni wa kurene, aliyekuwa anatoka shambani. basi, walimkamata, wakamtwika ule msalaba auchukue nyuma ya yesu.
comme ils l`emmenaient, ils prirent un certain simon de cyrène, qui revenait des champs, et ils le chargèrent de la croix, pour qu`il la porte derrière jésus.
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
walipokuwa njiani, walikutana na mtu mmoja aitwaye simoni, mwenyeji wa kurene. yeye alikuwa baba wa aleksanda na rufo, na wakati huo alikuwa akitoka shambani. basi, wakamlazimisha auchukue msalaba wa yesu.
ils forcèrent à porter la croix de jésus un passant qui revenait des champs, simon de cyrène, père d`alexandre et de rufus;
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa mujibu wa waanzilishi, paula goes na diego casaes – ambo walikutana kwenye twita na ambao hivi sasa wanashirikiana kwenye mradi wa global voices online, mradi huo una nia ya kukuza uraia hai na wenye jicho la uchunguzi, uraia ambao unachabanga baadhi ya mazoea yasiyo ya kidemokrasia na yasiyoeleweka kama ilivyoelezwa hapo juu.
selon paula góes et diego casaes, ses créateurs - qui se sont rencontrés via twitter et collaborent maintenant sur global voices online, le projet est de promouvoir une citoyenneté critique et active, qui défie quelques-unes des pratiques obscures et anti-démocratiques mentionnées ci-dessus.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: