Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto.
והציב את הכבשים לימינו ואת העתודים לשמאלו׃
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
wanyang'anyi wawili walisulubishwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.
ויצלבו אתו שני פריצים אחד לימינו ואחד לשמאלו׃
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mikononi mwake alishika kitabu kidogo kimefunguliwa. aliweka mguu wake wa kulia juu ya bahari, na wa kushoto juu ya nchi kavu,
ובידו ספר קטן פתוח וישם את רגל ימינו על הים ואת שמאלו על הארץ׃
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
wakamjibu, "uturuhusu tuketi mmoja upande wako wa kulia na mwingine upande wako wa kushoto katika utukufu wa ufalme wako."
ויאמרו אליו תנה לנו לשבת אחד לימינך ואחד לשמאלך בכבודך׃
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
hapo ndipo walipomsulubisha, na pamoja naye waliwasulubisha watu wengine wawili; mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto, naye yesu katikati.
ויצלבו אתו שמה ושני אנשים אחרים עמו מזה אחד ומזה אחד וישוע בתוך׃
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
"kisha atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, ondokeni mbele yangu enyi mliolaaniwa! nendeni katika moto wa milele aliotayarishiwa ibilisi na malaika wake.
ואז יאמר גם אל הנצבים לשמאלו לכו מעלי אתם הארורים אל אש עולם המוכנה לשטן ולמלאכיו׃
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
walipofika mahali paitwapo, "fuvu la kichwa," ndipo wakamsulubisha yesu pamoja na wale wahalifu wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto.
ויהי כאשר באו אל המקום הנקרא גלגלתא ויצלבו אתו שם ואת אנשי הבליעל זה לימינו וזה לשמאלו׃
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
yesu akawaambia, "kweli mtakunywa kikombe changu, lakini kuketi kulia au kushoto kwangu si kazi yangu kupanga; jambo hilo watapewa wale waliowekewa tayari na baba yangu."
ויאמר אליהם הן את כוסי תשתו ובטבילה אשר אני נטבל בה תטבלו אך שבת לימימי ולשמאלי אין בידי לתתה בלתי לאשר הוכן להם מאת אבי׃
Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak