Je was op zoek naar: majivuno (Swahili - Hebreeuws)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

majivuno

Hebrew

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Hebreeuws

Info

Swahili

baadhi yenu wameanza kuwa na majivuno wakidhani kwamba sitakuja tena kwenu.

Hebreeuws

הן יש מתנשאים כאלו לא אבוא אליכם׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini sasa mwajivuna na kujigamba; majivuno ya namna hiyo ni mabaya.

Hebreeuws

עתה תתגאו בפחזותכם וכל גאוה אשר כזאת רעה היא׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

majivuno yenu hayafai! je, hamjui kwamba chachu kidogo huchachusha donge lote la unga?

Hebreeuws

לא טוב התהללכם הלא ידעתם כי מעט שאר מחמץ את כל העסה׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

na kubomoa kila kizuizi cha majivuno kilichowekwa kuipinga elimu ya mungu; tunaziteka fikira zote na kuzifanya zimtii kristo.

Hebreeuws

באשר הרסים אנחנו תחבלות וכל מרום המתנשא נגד דעת האלהים ושובים כל מזמה למשמעת המשיח׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mtu ambaye hajakomaa bado katika imani asifanywe kuwa kiongozi katika kanisa, asije akajaa majivuno na kuhukumiwa kama vile ibilisi alivyohukumiwa.

Hebreeuws

ואל יהי תלמיד הדש למען לא ירהב לבו ויפל בדין המשטין׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

husema maneno ya majivuno na yasiyo na maana, na kutumia tamaa zao mbaya za kimwili kuwatega wale ambao wamejitenga hivi karibuni na watu waishio katika udanganyifu.

Hebreeuws

כי בדברם בגאות דברי שוא יצודו בתאות הבשר על ידי זמתם את אשר אך נמלטו מידי ההלכים בדרך תועה׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini, kusudi mambo haya makuu niliyofunuliwa yasinifanye nilewe majivuno, nilipewa maumivu mwilini kama mwiba, mjumbe wa shetani mwenye kunipiga nisijivune kupita kiasi.

Hebreeuws

ולמען אשר לא אתרומם ברב גדל החזינות נתן לי סלון בבשרי מלאך השטן להכתני באגרוף למען לא אתרומם׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

huyo amejaa majivuno na wala hajui chochote. ni mtu wa kupenda ubishi na magombano juu ya maneno matupu, na hiyo husababisha wivu, ugomvi, matusi, shuku mbaya,

Hebreeuws

נפשו עפלה ולא ידע מאומה כי אם חלה הוא בשאלות ומחלקות מלים המביאים לידי קנאה ומריבה וגדופים וחשד רע׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini, bwana akipenda, nitakuja kwenu upesi; na hapo ndipo nitakapojionea mwenyewe, sio tu kile wanachoweza kusema hao wenye majivuno, bali pia kila wanachoweza kufanya.

Hebreeuws

אבל בוא אבוא אליכם בזמן קרוב אם ירצה האדון ואדעה לא את דברי המתרוממים כי אם את גבורתם׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu;

Hebreeuws

כי יהיו האנשים אהבי עצמם ואהבי בצע והוללים וגאים ומגדפים וממרים באבותם וכפויי טובה ולא חסידים׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini, neema tunayopewa na mungu ina nguvu zaidi; kama yasemavyo maandiko: "mungu huwapinga wenye majivuno lakini huwapa neema wanyenyekevu."

Hebreeuws

וגם יגדיל לתת חן על כן אומר אלהים ללצים יליץ ולענוים יתן חן׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

kadhalika nanyi vijana mnapaswa kujiweka chini ya mamlaka ya wazee. ninyi nyote mnapaswa kuwa na unyenyekevu mpate kutumikiana; maana maandiko matakatifu yasema: "mungu huwapinga wenye majivuno, lakini huwajalia neema wanyenyekevu."

Hebreeuws

וכן גם אתם הנערים הכנעו לפני הזקנים וחגרו כלכם שפלות רוח בהכנע איש לרעהו כי אלהים ללצים יליץ ולענוים יתן חן׃

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Krijg een betere vertaling met
7,767,462,950 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK