Je was op zoek naar: madhabahu (Swahili - Italiaans)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Italiaans

Info

Swahili

madhabahu

Italiaans

altare

Laatste Update: 2014-01-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

anayeapa kwa madhabahu ameapa kwa hiyo madhabahu, na kwa chochote kilichowekwa juu yake.

Italiaans

ebbene, chi giura per l'altare, giura per l'altare e per quanto vi sta sopra

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

malaika wa bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.

Italiaans

allora gli apparve un angelo del signore, ritto alla destra dell'altare dell'incenso

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

chukueni, kwa mfano, wayahudi wenyewe: kwao, wenye kula vilivyotambikiwa madhabahuni waliungana na hiyo madhabahu.

Italiaans

guardate israele secondo la carne: quelli che mangiano le vittime sacrificali non sono forse in comunione con l'altare

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

kisha malaika wa sita akapiga tarumbeta yake. nami nikasikia sauti moja kutoka katika pembe nne za madhabahu ya dhahabu iliyokuwa mbele ya mungu.

Italiaans

il sesto angelo suonò la tromba. allora udii una voce dai lati dell'altare d'oro che si trova dinanzi a dio

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

tangu kumwagwa damu ya abeli mpaka kifo cha zakariya ambaye walimuua kati ya madhabahu na mahali patakatifu. naam, hakika kizazi hiki kitaadhibiwa kwa matendo haya.

Italiaans

dal sangue di abele fino al sangue di zaccaria, che fu ucciso tra l'altare e il santuario. sì, vi dico, ne sarà chiesto conto a questa generazione

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

enyi vipofu! ni kipi kilicho cha maana zaidi: ile zawadi, au madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa takatifu?

Italiaans

ciechi! che cosa è più grande, l'offerta o l'altare che rende sacra l'offerta

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

kisha mwanakondoo akavunja mhuri wa tano. nikaona pale chini ya madhabahu ya kufukizia ubani roho za wale waliouawa kwa sababu ya ujumbe wa mungu, na kwa sababu ya ushuhuda waliotoa.

Italiaans

quando l'agnello aprì il quinto sigillo, vidi sotto l'altare le anime di coloro che furono immolati a causa della parola di dio e della testimonianza che gli avevano resa

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

sababu yenyewe ni kwamba katika pitapita yangu niliangalia sanamu zenu za ibada nikakuta madhabahu moja ambayo imeandikwa: kwa ajili ya mungu yule asiyejulikana. basi, huyo mnayemwabudu bila kujua, ndiye ninayemhubiri kwenu.

Italiaans

passando infatti e osservando i monumenti del vostro culto, ho trovato anche un'ara con l'iscrizione: al dio ignoto. quello che voi adorate senza conoscere, io ve lo annunzio

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Wikipedia

Swahili

basi, nauliza, je, mungu aliwakataa watu wake? hilo lisitendeke kamwe! kwa maana mimi pia ni mwisraeli, wa uzao wa abrahamu, wa kabila la benyamini. mungu hakuwakataa watu wake, aliowatambua kwanza. je, hamjui linavyosema andiko kumhusu eliya, anapomwomba mungu dhidi ya israeli? “yehova, wamewaua manabii wako, wamezibomoa madhabahu zako, nami peke yangu nimebaki, nao wanaitafuta nafsi yangu.” lakini, neno la mungu linamwambia nini? “nimebakiza watu elfu saba kwa ajili yangu mwenyewe, watu ambao hawakumpigia baali goti.” basi, kwa njia hiyo katika majira ya sasa kumetokea pia mabaki kulingana na kuchaguliwa ambako kunatokana na fadhili zisizostahiliwa. basi ikiwa ni kwa fadhili zisizostahiliwa, si kwa sababu ya matendo tena; kama sivyo, fadhili zisizostahiliwa haziwi tena fadhili zisizostahiliwa.

Italiaans

quindi chiedo: dio non ha rigettato il suo popolo, vi pare? non sia mai! poiché anch’io sono israelita, del seme d’abraamo, della tribù di beniamino. dio non ha rigettato il suo popolo, che prima riconobbe. infatti, non sapete ciò che la scrittura dice riguardo a elia, quando egli supplica dio contro israele? “geova, hanno ucciso i tuoi profeti, hanno abbattuto i tuoi altari, e io solo sono rimasto, e cercano la mia anima”. ma che gli dice la dichiarazione divina? “ho lasciato rimanere per me settemila uomini, che non hanno piegato il ginocchio a baal”. in questo modo, perciò, anche al tempo presente si è trovato un rimanente secondo l’elezione dovuta all’immeritata benignità. ora se è per immeritata benignità, non è più dovuto alle opere; altrimenti, l’immeritata benignità non è più immeritata benignità.

Laatste Update: 2013-03-07
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
7,792,267,134 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK