Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
aliwavumilia kwa muda wa miaka arobaini kule jangwani.
et per quadraginta annorum tempus mores eorum sustinuit in desert
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
watu zaidi ya arobaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.
erant autem plus quam quadraginta qui hanc coniurationem feceran
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
huyo mtu aliyeponywa alikuwa na umri wa miaka zaidi ya arobaini.
annorum enim erat amplius quadraginta homo in quo factum erat signum istud sanitati
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
"alipokuwa na umri wa miaka arobaini aliamua kwenda kuwaona ndugu zake waisraeli.
cum autem impleretur ei quadraginta annorum tempus ascendit in cor eius ut visitaret fratres suos filios israhe
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
huko wazee wenu walinijaribu na kunichunguza, asema bwana, ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu kwa miaka arobaini.
ubi temptaverunt me patres vestri probaverunt et viderunt opera me
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kisha huyo mnyama akaruhusiwa kusema maneno ya kujigamba na kumkufuru mungu; akaruhusiwa kuwa na mamlaka kwa muda wa miezi arobaini na miwili.
et datum est ei os loquens magna et blasphemiae et data est illi potestas facere menses quadraginta du
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ndiye aliyewaongoza wale watu watoke misri kwa kufanya miujiza na maajabu katika nchi ya misri, katika bahari ya shamu na jangwani kwa muda wa miaka arobaini.
hic eduxit illos faciens prodigia et signa in terra aegypti et in rubro mari et in deserto annis quadragint
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa muda wa siku arobaini baada ya kifo chake aliwatokea mara nyingi kwa namna ambazo zilithibitisha kabisa kwamba alikuwa hai. walimwona, naye aliongea nao juu ya ufalme wa mungu.
quibus et praebuit se ipsum vivum post passionem suam in multis argumentis per dies quadraginta apparens eis et loquens de regno de
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
walikuwa wanaimba wimbo mpya mbele ya kiti cha enzi na mbele ya wale viumbe hai wanne na wale wazee. hakuna mtu aliyeweza kujifunza wimbo huo isipokuwa hao watu mia moja arobaini na nne elfu waliokombolewa duniani.
et cantabant quasi canticum novum ante sedem et ante quattuor animalia et seniores et nemo poterat discere canticum nisi illa centum quadraginta quattuor milia qui empti sunt de terr
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kisha nikaona mlima sioni, na mwanakondoo amesimama juu yake; pamoja naye walikuwa watu mia moja arobaini na nne elfu ambao juu ya paji za nyuso zao walikuwa wameandikwa jina la mwanakondoo na jina la baba yake.
et vidi et ecce agnus stabat supra montem sion et cum illo centum quadraginta quattuor milia habentes nomen eius et nomen patris eius scriptum in frontibus sui
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
lakini wewe usikubali kwa maana kuna watu zaidi ya arobaini walio tayari kumvamia. wameapa kutokula wala kunywa mpaka watakapokuwa wamemuua. sasa wako tayari, wanangojea tu uamuzi wako."
tu vero ne credideris illis insidiantur enim ei ex eis viri amplius quadraginta qui se devoverunt non manducare neque bibere donec interficiant eum et nunc parati sunt expectantes promissum tuu
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
lakini mungu aliondoka kati yao, akawaacha waabudu nyota za anga, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii: enyi watu wa israeli! si mimi mliyenitolea dhabihu na sadaka kwa muda wa miaka arobaini kule jangwani!
convertit autem deus et tradidit eos servire militiae caeli sicut scriptum est in libro prophetarum numquid victimas aut hostias obtulistis mihi annis quadraginta in deserto domus israhe
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: