Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
wapendwa, mambo yanapaswa kubadilika
queridos @bbcafrica @africarenewal @da_news @allafrica, las cosas tienen que cambiar.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
sd: serikali yote inaweza kubadilika kesho.
sd: todo el régimen puede cambiar mañana.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mugabe amewatuhumu wazimbabwe kubadilika kuwa kama naijeria linapokuja suala la ufisadi.
supuestamente, #mugabe acusó a los zimbabuenses de volverse como los nigerianos en lo que respecta a la corrupción.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
au hiki kinachoonekana kuwa kushuka kwa kublogu ni kwa sababu ya kubadilika kwa utamaduni na uandishi wa kiraia?
¿o la reducción en actividad en blogs será simplemente el resultado de las normas cambiantes en redes sociales?
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kuna tatizo pale ambapo si wanafunzi wala walimu wameandaliwa kubadilika kutoka kiswahili kwenda kiingereza katika shule ya sekondari.
existe un problema cuando ni estudiantes ni docentes están preparados para hacer el cambio del swahili al inglés en la secundaria.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
ingawa hiyo ni kanuni isiyo sahihi na haina budi kubadilika,haipaswi kubadilishwa kwa namna ambavyo kijana huyu anataka iwe.
aunque sea una mala regla y deberían cambiarla, no debería ser de la manera en que este joven lo hizo.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
imetuonyesha kwamba mapambano ya upinzani, kujitoa muhanga na mapenzi ni sehemu ya wapalestina ambayo haitaweza kubadilika pamoja na dhiki zote zinazotusibu.
nos ha mostrado que la resistencia, coraje y amor son una parte integral de la identidad palestina que nunca cambiará a pesar de las penurias que soportemos.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
katika kanda, uharibifu wa ardhi na kilimo pembezoni mwa ardhi huzidisha hatari ya kwamba matukio yaliyokithiri yanaweza kubadilika kuwa maafa ya asili.
en la región, la degradación de la tierra y el cultivo de tierras marginales aumentan el riesgo de que los eventos extremos puedan convertirse en desastres naturales.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa maoni ya mwanahabari hilath rasheed, huenda nchi ya maldivi ikashindwa kuegamisha uhuru wa dini katika miaka 50 ijayo, hadi kubadilika kwa mawazo ya vizazi vipya vya wamaldivi.
el periodista hilath rasheed escribe que tal vez maldivas no podrá establecer libertad religiosa en los próximos 50 años, hasta que la mentalidad cambie entre las nuevas generaciones de maldivos.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kituo cha hifadhi ya wanyama, bila shaka, ni moja ya maeneo machache unayoweza kuyatembelea na kujionea jinsi watu wanavyobadilika kulingana na vionjo na matakwa ya tembo na siyo tembo kubadilika kulingana na namna watu wanavyoishi.
el elephant conservation center es probablemente uno de los pocos lugares que puedes visitar donde el elefante no es el que se tiene que adaptar a los horarios de la gente, sino que es la gente la que se tiene que adaptar al ritmo y las necesidades de los elefantes.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
zilikuwepo twiti za upande wa wale wanaomwunga mkono rais, ambazo zilionyesha furaha na kuridhika, wakati wale waliokuwa wanamwunga mkono hanrique capriles walionyesha hisia zao za kusikitishwa na matokeo hayo wakati huo huo wakiwa na matumaini kwamba mambo yanaweza kubadilika kwa siku za mbeleni.
desde el lado que apoya al presidente los tuits expresan alegría y satisfacción, mientras que entre quienes seguían la propuesta de henrique capriles se mezclan sentimientos de decepción con profundas convicciones de que los cambios serán posibles en el futuro.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
miezi nane tangu kubadilika kwa utawala, serikali ilitaka kuiadhimisha sikukuu hii kwa mapambo mapya kabisa ya noeli nchini humo na kwa kuandaa maonyesho makubwa ya milipuko ya fataki mnamo desemba 30-31, 2011.
ocho meses después del cambio de régimen, las autoridades querían conmemorarlo con decoraciones completamente nuevas en el país y organizar una sesión enorme de fuegos artificiales el 30 o 31 de diciembre de 2011.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kama inavyooneshwa na muda wa hifadhi hiyo, utaratibu huo ni jambo la muda tu na haiwezi kubadilika kumfanya mtu awe na sifa za kupata ukaazi wa kudumu (kupitia mpango wa kadi ya kijani) au hata kuwa raia wa marekani.
como el nombre lo implica, el estatus es temporal y no califica automáticamente a un individuo para la residencia permanente (tarjeta verde) o la ciudadanía.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kidogo kidogo, pamoja na ushirikiano, inawezekana kuunda mtandao wa uwezekano inayoruhusu mahusiano ya haki sawa zaidi, kwa kuweka kando mawazo ya awali kama "katika siasa, ni sawa daima"; au "mamlaka daima huharibu" ili kuanza kufikiria kwamba watu ambao wana uzoefu wa nguvu ya kisiasa wanaweza kubadilika, lakini kama utaratibu na njia ya kutekeleza mamlaka ya kisiasa haitabadilika, hakuna uwezekano kwamba uhakika wetu utabadilika.
poco a poco, colectiva y colaborativamente, es posible tejer un entramado de posibilidades que nos permitan relaciones más equitativas, igualitarias, para poder dejar a un lado pre-conceptos generalizantes como “en política son siempre los mismos” o, “el poder siempre corrompe” para empezar a pensar que las personas que ejercen el poder político, pueden cambiar pero que si lo que no se transforman son las mecánicas y las formas del ejercicio, es poco probable que nuestra realidad cambie.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak