Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
atlas has thrown his burdens
ramani imetupa mizigo yake
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
this week, the unesco atlas of world languages was released, regarding galician as a strong language among those that are not the main languages of any country.
wiki hii, kitabu cha ramani za lugha cha unesco kilitolewa, na kudai kwamba ki-galisia ni moja ya lugha zenye nguvu ambazo si lugha kuu katika nchi yoyote.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
as someone who loves languages, i am chagrined to read the news coming out of unesco's presentation of the updated atlas of the world’s languages in danger of disappearing.
nikiwa mmojawapo wa watu wanaopenda lugha, ninasikitishwa ninaposoma habari zinazotoka wakati wa kutolewa kwa kitabu kipya cha ramani ya lugha zilizo hatarini kutoweka duniani cha unesco.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
according to the atlas, unveiled on the eve of international mother language day (21 february), nearly 200 languages have fewer than 10 speakers and 178 others have between 10 and 50 speakers.
kwa mujibu wa kitabu hicho cha ramani, kilichozinduliwa kwenye mkesha wa siku ya kimataifa ya lugha (21 februari), karibu ya lugha 200 zina wazungumzaji pungufu ya 10 na lugha nyingine 178 zina wazungumzaji kati ya 10 na 50.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
as a player and coach, he led the les bleus, france’s national team, to third place in mexico 1986 and became a household name in morocco, after guiding the atlas lions to france 1998 world cup.
kama mchezaji na kocha aliongoza les bleus, timu ya taifa ya ufaransa hadi ikawa nambari tatu huko mexico mwaka wa 1986. hapo baadaye akakuwa maarufu morocco, alipowaongoza atlas lions hadi kombe la dunia lililotwaliwa na ufaransa mwaka wa 1998.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: