Você procurou por: brutally (Inglês - Suaíli)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

English

Swahili

Informações

English

brutally

Swahili

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Inglês

Suaíli

Informações

Inglês

in january 2013, he was brutally attacked by unknown assailants, presumably for his writings.

Suaíli

januari 2013, alishambuliwa kikatili na washambuliaji ambao hawakujulikana, pengine kutokana na maandiko yake.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

once again an indigenous girl was killed after being brutally raped in borodalupara village, kawkhali upazila of rangamati district.

Suaíli

kwa mara nyingine tena msichana mzawa ameuliwa mara baada ya kufanyiwa ukatili kwa kubakwa katika kijiji cha borodalupara, kawkhali upazila ya wilaya ya rangamati.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

sadly, the non-functional local government makes his life bitter and brutally infringes on his right to private property.

Suaíli

kwa bahati mbaya, serikali za mitaa zisizofanya wajibu wake zinafanya maisha yake kuwa machungu na kwa kweli inafanya iwe vigumu kupata haki yake.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

well with my all respect i said it before and will say it again; do not think of marwa as a muslim woman; think of her as a pregnant woman and a mother who was brutally stabbed 18 times in front of her little boy.

Suaíli

naam, kwa heshima yangu yote nilikwishasema hapo awali na nitasema tena; usimfikirie marwa kama mwanamke wa kiislamu; mfikirie kama mwanamke mjamzito na mama ambaye kwa yakini alichomwa visu mara 18 mbele ya mwanawe mdogo wa kiume.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

when riots in meikhtilar township in myanmar happened, (the global) media and international organizations (like the) un, human rights watch (reported) about it and some even exaggerated the (situation), labeling it ethnic cleansing, genocide, muslims in myanmar are being brutally massacred, or something like that....but why are they silent than normal about the current massacre in malaysia targeting myanmar buddhists?

Suaíli

wakati vurugu zilipotokea huko katika mji wa meikhtilar nchini myanmar, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika ya kimataifa kama vile umoja wa kimataifa, shirika la haki za binadamu yaliripoti matukio haya na pia baadhi yao walipotosha hali halisi ya mambo, wengine wakisema ni mpango wa kufutilia mbali makabila fulani, mauaji ya halaiki, waislamu ya myanmar wanauawa kikatili na mambo vyanayofanana na hayo..... lakini ni kwa nini kumekuwa na ukimya uliopitiliza kuhusiana na mauaji ya kikatili yaliyotokea nchini malasia yanayowalenga wabudha wa myanmar.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,765,243,093 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK