Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
as herders we were like princes, proud.
kama wafugaji tulikuwa kama wana wa mfalme, wenye kiburi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lo! we obeyed our princes and great men, and they misled us from the way.
hakika sisi tuliwat'ii bwana zetu na wakubwa wetu; nao ndio walio tupoteza njia.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
which none of the princes of this world knew: for had they known it, they would not have crucified the lord of glory.
ni hekima ambayo watawala wa dunia hii hawakuielewa; maana wangalielewa, hawangalimsulubisha bwana wa utukufu.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
howbeit we speak wisdom among them that are perfect: yet not the wisdom of this world, nor of the princes of this world, that come to nought:
hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani, wala si ya watawala wa dunia hii ambao wako katika mkumbo wa kupotea.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and thou bethlehem, in the land of juda, art not the least among the princes of juda: for out of thee shall come a governor, that shall rule my people israel.
ewe bethlehemu katika nchi ya yuda, kwa vyovyote wewe si mdogo kabisa kati ya viongozi wa yuda; maana kwako atatokea kiongozi atakayewaongoza watu wangu, israeli."
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
and recall what time musa said unto his people: o my people! remember the favour of allah on you when he made amongst you prophets and made princes, and vouchsafed unto you that which he vouchsafed not to anyone in the world.
na pale musa alipo waambia watu wake: enyi watu wangu! kumbukeni neema za mwenyezi mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
prince charming kwa kiswahili
prince charminging kwa kiswahili
Última atualização: 2023-03-09
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.