A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
judicial service commission tanzania
tume ya utumishi serikalini
Última atualização: 2017-10-13
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
is arresting lawyers the future direction of judicial reform?
hivi kweli kukama wanasheria ndio mwelekezo mpya wa kuboresha mahakama?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
as a student of law, this is easily one of the most ridiculous grounds for any judicial investigation i have ever heard.
kama mwanafunzi wa sheria, kwa urahisi, hii ni moja ya sababu za kijinga katika uchunguzi wowote wa kisheria ambao nimewahi kuusikia.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
the allegations and the judicial case on him in india have now been taken back by the siddiqui family for an alleged rs. 150 million in alimony.
madai na kesi inayomkabili nchini india hivi sasa vimeondolewa na familia ya siddiqui baada ya malipo ya kiasi cha rupia milioni 150 kama fedha za kumkimu aliyetalikiwa.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
solomonsydelle reported on the possibility that the international criminal court may step in to bring judicial resolution to the situation and avert a spiral of future reprisals.
solomonsydelle aliripoti juu ya uwezekano kuwa mahakama ya kimataifa ya jinai inaweza kuingilia kati na kutoa suluhisho la kisheria kwa tatizo hili na kuepusha mzunguko wa visasi siku za baadaye.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
in the meetup agenda also, a panel on the subject of alternative media in tunisia and a keynote speech on personal data protection by chawki gaddas from the faculty of judicial, political and social sciences of tunis.
katika agenda za mkutano, kadhalika, kutakuwa na mada kuhusu vyombo mbadala vya habari na ulinzi wa data binafsi itakayotolewa na chawki gaddas kutoka kitivo cha sheria, sayansi ya siasa na jamii cha tunis.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
"political interference, inefficiency, favoritism toward well placed persons, prolonged judicial processes, and corruption characterized the judicial system."
"mfumo wa mahakama una sifa ya kuingiliwa na siasa, utendaji usioridhisha, upendeleo kwa watu fulani fulani, michakato mirefu ya kimahakama, na ufisadi."
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
la rue criticized the administration of president otto pérez molina for failing to stem crime in the country, siding with private interests, persecuting social leaders and not protecting journalists from judicial harassment, lawsuits, threats, physical aggressions and killings.
la rue alikosoa utawala wa rais otto perez molina kwa kushindwa kuzuia uhalifu nchini, kipendeleo kwa maslahi binafsi, kutesa viongozi wa kijamii na kutolinda waandishi wa habari kutoka unyanyasaji wa mahakama, kesi za kisheria, vitisho, ushambulizi wa kimwili na mauaji.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: