A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
for it hath pleased them of macedonia and achaia to make a certain contribution for the poor saints which are at jerusalem.
maana makanisa ya makedonia na akaya yemeamua kutoka mchango wao kuwasaidia watu wa mungu walio maskini huko yerusalem.
image of protesters from the first march of part-time and freelance workers in macedonia, december 2014.
picha ya maandamano yaliyohusu kazi za mikataba ya muda na wale walio na ajira zaidi ya moja nchini makedonia, tarehe 24, desemba.
in macedonia, ranked among the poorest countries in europe, every third citizen lives below the poverty line .
macedonia, nchi iliyo kwenye orodha ya nchi masikini kabisa barani ulaya, kila mwananchi mmoja kati ya watatu anaishi chini ya mstari wa umasikini .
macedonia is home to 2.1 million people, of which 63 percent are ethnic macedonian and 25 percent are ethnic albanian.
masedonia ni makazi ya watu milioni 2.1, ambao asilimia 63 wana asili ya masedonia na asilimia 25 ni wa asili ya albania.
and to pass by you into macedonia, and to come again out of macedonia unto you, and of you to be brought on my way toward judaea.
nilikusudia kupita kwenu nikiwa safarini kwenda makedonia, na wakati wa kurudi pia, ili nipate msaada wenu kwa safari yangu kwenda yudea.
toni zen was once, not so long ago, macedonia's biggest hip hop star, a media darling whose every move was followed.
hata sio muda mrefu uliopita, toni zen alikuwa nyota mkubwa wa muziki wa kufoka foka nchini macedonia, akipendwa sana na vyombo vya habari vilivyofuatilia kila alichokifanya.
almost 1,000 people in macedonia have signed on to participate in a second protest of part-time workers and freelancers, scheduled for february 6.
takribani, watu 1,000 nchini macedonia wameshatia saini ya kukubali kushiriki kwa mara nyingine kwenye maandamano ya kuwatetea wafanyakazi walio na mikataba ya muda pamoja na wale walioajiriwa na mwajiri zaidi ya mmoja ,yanayotarajiwa kufanyika tarehe 6 februari.
according to macedonia's law on freedom of access to information of public character, state bodies are under obligation to respond to written foi requests within 30 days.
kwa mujibu wa sheria ya macedonia ya uhuru wa kupata taarifa ya kanuni ya umma, mamlaka za serikali zinalazimika kutolea majibu ya maombi ya uhuru wa kupata taarifa (foi) ndani ya siku 30.
the most recent us state department human rights report on macedonia, published on feb. 28, 2014, notes the following among the key issues plaguing the country:
hivi karibuni ripoti ya idara ya haki za binadamu ya marekani kuhusu masedonia, ilichapishwa tarehe 28, 2014, inabainisha masuala yafuatayo ya msingi, katika mengi, yanayoitafuna nchi hiyo:
one week ahead of macedonia's presidential elections, incumbent candidate president gjorge ivanov provoked widespread discussion among macedonian social media users by making a series of gaffes in his first campaign interview.
ikiwa imebaki wiki moja tu kuelekea kwenye uchaguzi wa rais nchini macedonia, mgombea urais ambaye ndiye rais wa sasa gjorge ivanov alisababisha mjadala makali kwenye mitandao ya kijamii baada ya mgombea huyo 'kuchemka' kwenye mjadala wake wa kwanza wa kampeni za urais..
on thursday, june 6, in the center of skopje, the movement against police brutality will mark two years since the murder of martin neshkovski, which sparked massive grassroots protests in macedonia in the summer of 2011.
siku ya alhamisi, juni 6, katika kituo cha skopje, vuguvugu la kupinga ukatili wa polisi litatimiza miaka miwili baada ya mauaji ya martin neshkovski, ambayo yalisababisha maandamano makubwa katika ngazi za chini kabisa nchini macedonia katika majira ya joto ya 2011.
in macedonia, as in other countries of the former yugoslavia, the tradition of collecting stickers is decades long, dating back at least to the 1970s and many vintage sticker albums are now valued collectors' items.
nchini macedonia, kama ilivyo kwa nchi nyinginezo za yugoslavia ya zamani, utamaduni wa kukusanya 'stika' una historia ndefu, inaanzia miaka ya 1970 na albamu za 'stika' sasa zinauzwa.
according to the regulation: "it is not allowed to fly unmanned aircraft in a radius of 500 meters from building related to security, buildings of state bodies and critical masses of people, such as the buildings of ministry of defense and the army of republic of macedonia, buildings of the ministry of interior, the government, the assembly, the residence of the president of the state, embassies, sport competitions of high risk, and big gatherings of people (protests)."
kwa mujibu wa kanuni hiyo: "hairuhusiwi kurusha kamera kwenye kipenyo cha mita 500 kutoka kwenye jengo linalohusika na usalama, majengo ya vyombo vya serikali na mkusanyiko muhimu wa watu, kama vile majengo ya wizara ya ulinzi na jeshi la jamhuri ya masedonia, majengo ya wizara ya mambo ya ndani, serikali, bunge, makazi ya rais wa nchi, majengo ya ubalozi, mashindano ya michezo yenye hatari kubwa, na mkusanyiko mkubwa wa watu (wanaoandamana)."