Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
the old ways are bad - corruption, misrule, mismanagement and all that.
taratibu za zamani ni mbaya - rushwa, utawala wa hovyo hovyo, utawala mbovu na mambo kama hayo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
nabil omar complained about mismanagement of natural resources such as tanzanite:
nabil omar alilalamikia usimamizi mbovu wa mali asili kama tanzanite:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
as soon as journalists began reaching hospitals to report on the situation, more mismanagement came to surface.
mara baada ya waandishi wa habari kuanza kutembea mahospitalini kwa ajili ya kutoa taarifa za tukio hili, matumizi mabaya ya madaraka yaliendelea kujitokeza.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
not just bihar, government run schools, across india, may have bigger stories of negligence and mismanagement to tell.
sio tu bihar, miongoni mwa shule zinazomilikiwa na serikali nchini india zilizoweza kuwa na mengi ya kujadiliwa kuhusiana na kutotilia maanani mambo na usimamizi mbovu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
it is pathetic that african countries still blame their former colonial masters today for their economic failures clearly caused by corruption, mismanagement and sheer incompetence
ni aibu kuwa leo bado nchi za afrika zinawalaumu mabwana zao wakoloni wa zamani kwa uchumi uliozorota ambao kwa hakika kabisa kunasababishwa na ufisadi, udhibiti mbovu wa raslimali na kukosa uwezo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
with the huge country split into myriad, inaccessible local enclaves, it was never going to be easy to resolve all the problems of corruption, mismanagement, inter-ethnic rivalries and power struggles.
ndani ya nchi hii kubwa iliyogawanyika katika vitongoji visivyo rahisi kuvifikia, haingekuwa jambo rahisi kutatua matatizo yote ya rushwa, uzembe, ushindani wa kikabila pamoja na ushindani wa kutaka ukubwa.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: