Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
first, an overview of what happened:
kwanza, alianza na muhtasari wa kilichotokea:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
globalization and disease – overview of globalization and disease transmission
umataifishaji na ugonjwa – muhtasari wa umataifishaji na usambazaji wa ugonjwa
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
most other imagery is not interactive, but arguably gives a broader overview of the situation.
taswira nyingine nyingi siyo shirikishi, lakini pengine zinatoa mtazamo mpana kuhusu hali ilivyo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
in this review we present an overview of the zoonotic origins, interspecies transmission and pathogenesis of hcovs.
katika ukaguzi huu tunawasilisha muhtasari wa asili ya wanyama, usambazaji miongoni mwa aina ya wanyama na uwezo wa hcov kusababisha magonjwa.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
in her article, the writer collects interesting expert statements on the subject providing an overview of the problem.
kwenye makala yake, mwandishi anakusanya matamshi mbalimbali ya wataalamu kuhusu suala hilo na hivyo kutoa mwanga kuhusiana na tatizo hilo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
he opens the introduction to his online gallery with a brief overview of the last 14 years under the government of president hugo chávez:
anafungua utangulizi wa mkusanyiko wa picha hizo za mtandaoni kwa maelezo mafupi ya siku 14 za mwisho za serikali ya rais hugo chávez:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
in this review, we present an overview of the existing knowledge about the seven hcovs, with a focus on the history of their discovery as well as their zoonotic origins and interspecies transmission.
katika ukaguzi huu, tunawasilisha muhtasari wa ujuzi uliopo kuhusu aina saba za hcov, kwa kuangazia historia ya kugunduliwa kwake pamoja na chanzo chake kwenye wanyama na kuenezwa kwake kutoka kwa aina moja ya mnyama hadi nyingine.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
from providing refugees with access to information on health and educational opportunities to using facebook, gmail chat and skype to maintain connections with family members and friends across geographical divides, the issue provides a comprehensive overview of how icts are being used.
kutoka kuwapa wakimbizi upatikanaji wa habari juu ya afya na fursa za elimu mpaka utumiaji wa facebook, maongezi kwa ktumia gmail na skype ili kudumisha mawasiliano na wanafamilia na marafiki kuvuka mipaka ya kijiografia, toleo hili limetoa picha kamili ya jinsi gani tknohama inavyotumika.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
at least, it is a document, which provides a sort of overview of the political, economic and social issues, under this regime, as seen through the lives and experiences of voters, minus the untold truth.
angalau, utafiti huu ni waraka tu, unaotoa mwelekeo wa hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, chini ya utawala huu, kama yanavyotazamwa kupitia maisha na uzoefu wa wapiga kura wenyewe, ukiacha ukweli ambao hauwezi kusemwa.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: