A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
philosophy of education
falsafa ya elimu
Última atualização: 2014-10-12
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
he excels in math, foreign languages, history, philosophy, it and science.
yeye hufanya vizuri katika hesabu, lugha za kigeni, historia, falsafa, teknolojia na sayansi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
will african entrepreneurs know how to integrate the principles of corporate governance with the ubuntu philosophy in which the group comes before the individual?
je wajasiriamali wa afrika wanaweza kujua jinsi ya kuunganisha kanuni falsafa ubuntu za utawala bora na ambao kikundi huja kabla ya mtu binafsi?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
for me, reading his posts on philosophy and chatting with him occasionally on facebook was never intimate enough, so i decided to meet him in person.
kwangu mimi, kwa kusoma makala zake zilizohusiana na falsafa pamoja na kupiga soga naye mara kwa mara kupitia facebook, kamwe hakukuniridhisha, hadi pale nilipoamua kuonana naye ana kwa ana.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
an extensive teaching of buddhist philosophy is now accessible online in the form of short commentaries, dictionaries, podcasts, or textbooks in both english and khmer.
amafundisho ya kina ya falsafa ya ki-buda hivi sasa yanapatikana kwenye mtandao wa intaneti katika muundo wa maoni mafupimafupi, kamusi, podikasti, na hata vitabu kamili ivilivyoandikwa kwa lugha ya kiingereza na khmer.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
meanwhile, james chikonamombe, a zimbabwean national based in the us, saw the attacks as evidence of the failure of pan africanism (a political philosophy that promotes solidarity among africans):
kwa upande mwingine, james chikonamombe, raia wa zimbabwe anayeishi amerika, anayaona mashambulizi haya kama ushuhuda wa kushindwa kwa dhana ya umajumui wa afrika (falsafa ya kisiasa inayosisitiza mshikamano miongoni mwa wafrikaa):
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
mcgill university philosophy professor, arash abizadeh, doesn't encourage the opening of borders, yet states that the current border system can't be justified by a liberal egalitarian logic.
profesa wa falsafa wa chuo kikuu cha mcgill, arash abizadeh, hataki kuhimiza kufunguliwa kwa mipaka, hata hivyo nasema kuwa mfumo uliopo wa mipaka hauwezi kuhalalishwa kwa mantiki ya uwazi ya kiliberali.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: