A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
polygamous marriages are also increasing - the legal aid foundation of the indonesian women's association for justice received 87 reports of polygamy in 2008, up from 16 in 2007.
ndoa za mitala pia zinaongezeka - asasi ya msaada wa sheria ya jumuiya ya haki za wanawake wa indonesia ilipokea taarifa 87 za mitala mwaka 2008, ongezeko kutoka taarifa 16 katika mwaka 2007.
director general for islamic guidance at the ministry for religious affairs nasaruddin umar: "there has been a significant increase in divorce because women have been rejecting polygamy in recent years.”
mkurugenzi mkuu wa miongozo ya kiislamu katika wizara ya mambo ya dini, nasaruddin umar: "kumekuwepo na ongezeko kubwa la talaka kwa sababu wanawake wameanza kupinga ndoa za mitala katika miaka ya karibuni."
indonesian restaurateur puspo wardoyo offers "polygamy juice", a mixture of four tropical fruits, and "polygamy vegetables", a four-vegetable combo, in his restaurants.
mfanyabiashara ya migahawa wa kiindonesia puspo wardoyo anatoa 'maji ya matunda ya ndoa za mitala', mchanganyiko wa matunda manne, na mboga za mitala, mseto wa mboga nne, kwenye migahawa yake.