Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
among the 43 million refugees worldwide, a staggering number of people will never see their family again because they simply have no means to reach them.
katika wakimbizi 43 duniani kote, wengi wao wanasemekana hawaweza tena kuonana na familia zao tena kwa sababu tu ya kukosa namna ya kuwasiliana nao.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
i have sat in the company of bank mds who stole billions of money, ruling party leaders who manipulate the electoral process and steal billions on naira, pastors of un taxed mega churches where all the above pay staggering sums in tithes and contribution and listened in disbelief as they all moan about bad leadership and the nigerian situation.
nimekaa kati ya wakurugenzi waendeshaji wa benki waliokwapua mabilioni ya fedha, viongozi wa chama tawala wanaoharibu michakacho ya uchaguzi na kuiba maibilioni ya naira, wachungaji wa makanisa mkubwa yasiyotozwa kodi ambako wote hapo juu wanalipa kiasi kikubwa sana cha mafungu ya sadaka na michango na kusikiliza bila kuamini namna wote hao wanavyolalamika kuhusu uongozi mbaya na hali ya naijeria.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
when there is minimal to moderate community transmission, social distancing strategies can be implemented such as canceling field trips, assemblies, and other large gatherings such as physical education or choir classes or meals in a cafeteria, increasing the space between desks, staggering arrival and dismissal times, limiting nonessential visitors, and using a separate health office location for children with flu-like symptoms.
wakati ambapo kuna usambazaji chache hadi wastani ya kijamii, mbinu za kutotangamana na watu zinaweza kutekelezwa kama vile kukatisha safari za elimu, mikutano, na mkusanyiko mengine makubwa kama vile vipindi vya michezo au mafunzo ya kwanya au milo katika mikahawa, kuongeza nafasi kati ya madawati, kulegeza nyakati za kufika na kuondoka, kupunguza idadi ya wageni wasiohitajika, na kutumia eneo tofauti ya ofisi ya afya kwa watoto ambao wana dalili kama za homa ya mafua.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade: