Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
it is basically fraudulent.
huo ni utapeli tu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
this is basically standardized median wages of workers according to the their age.
huu, kimsingi, ni ujira wa kati uliowekwa katika kiwango fulani kwa wafanyakazi kwa mujibu wa umri wao.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
basically what mica is saying is they banned this film because they want only the truth to be told and this film is full of falsehoods, lies and distortions.
kimsingi kinachosemwa na mica ni kwamba wameipiga marufuku filamu hiyo kwa kuwa wanataka ukweli pekee ndio usemwe lakini filamu hii imejaa mambo mengi ya uongo, ulaghai na kupindishwa.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
although my mother is often described as a political dissident who strives by peaceful means for democratic change, we should remember that her quest is basically spiritual.
ingawa mama yangu anaelezwa mara nyingi kama mpigania haki za kisiasa na ambaye anajaribu kwa njia za amani kuleta mabadiliko ya kidemokrasia, hatuna budi kukumbuka kwamba mapambano yake, kimsingi, ni ya kiroho.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and that we are the kind of people to complain about rising fuel prices, high pay as you earn taxes, impossible airtime charges…basically a very high cost of living.
na kwamba sisi ni aina ile ya watu ambao hulalamikia kuongezeka kwa bei za mafuta, kodi zilizo juu za lipa kadiri unavyopata, gharama za juu ya upigaji simu ... kwa ujumla ni gharama zilizo juu ya maisha.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: