Você procurou por: distributed (Inglês - Suaíli)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

English

Swahili

Informações

English

distributed

Swahili

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Inglês

Suaíli

Informações

Inglês

anonymous image distributed online.

Suaíli

picha isiyojulikana mmiliki inayosambaa mtandaoni..

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

during it are distributed all the works of wisdom.

Suaíli

katika usiku huu hubainishwa kila jambo la hikima,

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

they are widely distributed across the middle east and africa.

Suaíli

wamesambaa pakubwa kote mashariki ya kati na afrika.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

image author anonymous - widely distributed on social networks.

Suaíli

aliyetengeneza picha hii hafahamiki -inasambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

although it was identified in netherlands, it is actually distributed globally.

Suaíli

ingawa vilitambuliwa nchini uholanzi, vilisambaa ulimwenguni.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

join the #remoties channel in slack to talk with your colleagues about distributed work

Suaíli

jiunge na kituo cha #remoties katika slack ili kuongea na wenzako kuhusu kazi iliyosambazwa

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

citymag, a free magazine distributed monthly in nouakchott has started to publish my drawings.

Suaíli

citymag, jarida linalosambazwa bure kila mwezi mjini nouakchott limeanza kuchapisha michoro yangu.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

once they finalized the lyrics, they circulated them on social media and distributed them on paper.

Suaíli

walipomaliza mashairi hayo, waliyasambaza kwenye mitandao ya kijamii na kwa njia ya makaratasi.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

the day the enemies of god will be gathered at the fire and the records of their deeds will be distributed,

Suaíli

na siku watakapo kusanywa maadui wa mwenyezi mungu kwenye moto, nao wakikgawanywa kwa makundi.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

and we have certainly distributed it among them that they might be reminded, but most of the people refuse except disbelief.

Suaíli

na kwa yakini tumeisarifu kati yao wapate kukumbuka. lakini watu wengi wanakataa ila kukufuru.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

the hr operations team is looking into webinar-based ergonomics guidance to support the increase in distributed work across the foundation.

Suaíli

timu ya shughuli za hr inazingatia mwongozo wa mazingira ya mtandao ili kusaidia katika ongezeko la kazi zilizosambazwa katika wakfu.

Última atualização: 2023-07-07
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

but as god hath distributed to every man, as the lord hath called every one, so let him walk. and so ordain i in all churches.

Suaíli

kwa vyovyote kila mmoja na aishi kufuatana na vipaji alivyogawiwa na bwana, na kama alivyoitwa na mungu. hili ndilo agizo langu kwa makanisa yote.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

durng the first minutes after the crash, the car was just a buch of bodies, chairs and parts of the train that were equally distributed around.

Suaíli

katika dakika chahce baada ya ajali, behewa lilikuwa ni kama fungu la miili, viti na sehemu za treni ambazo zilikuwa zimesambaa sawia kila mahali.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

he also outlined how his wealth would be distributed and asked incumbent president joyce banda, under whom he served, to help pay the school fees for his child.

Suaíli

alieleza namna utajiri wake utagawanya na kumwomba rais aliyeko madarakani joyce banda, ambaye alimtumikia, kumsaidia kulipa ada ya shule kwa mwanae.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

both hcov-229e and hcov-oc43 are distributed globally, and they tend to be predominantly transmitted during the season of winter in temperate climate.

Suaíli

virusi vya hcov-229e na hcov-oc43 vimeenea kote duniani, na huonekana kuenea zaidi wakati wa msimu wa kipupwe katika hali ya hewa kiasi.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

we have distributed among them their comforts in the life of this world, and gave high status to some over others so that they mock at each other; and the mercy of your lord is better than all what they hoard.

Suaíli

sisi tumewagawanyia baina yao maisha yao katika uhai wa duniani, na tukawanyanyua baadhi yao juu ya wengine kwa daraja nyingi; kwa hivyo baadhi yao wanawafanya wenginewe wawatumikie. na rehema za mwenyezi mungu ni bora kuliko hayo wanayo yakusanya.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

and jesus took the loaves; and when he had given thanks, he distributed to the disciples, and the disciples to them that were set down; and likewise of the fishes as much as they would.

Suaíli

yesu akaitwaa ile mikate, akamshukuru mungu, akawagawia watu waliokuwa wameketi; akafanya vivyo hivyo na wale samaki, kila mtu akapata kadiri alivyotaka.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

moreover, having grasped the potential for such volunteers in the country, the international network street pappers (insp) supported the idea of creating a magazine to be distributed by homeless people.

Suaíli

zaidi ya hivyo, kutokana na kuelewa umuhimu wa watu wanaojitolea nchini humo, international network street pappers (insp) ilisaidia juhudi za kuchapisha jarida ambalo linasambazwa kwa watu wasio na makazi.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

@jud_official (jamat 'ud' da'wah): @usembislamabad #usaid rajiv shah took us serious when he visited our relief camp in 2010 & distributed relief goods there - #hafiz saeed

Suaíli

@jud_official (jamat 'ud' da'wah): @usembislamabad rajiv shah kutoka shirika la kimarekani la kutoa misaada alitoa kipao mbele kwetu pale alipotembelea kambi yetu ya kutoa misaada mwaka 2010 na kutoa misaada - #hafiz saeed

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,781,485,284 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK