A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
they also discussed the importance of content verification and best practices and taking your questions via the q and a app.
pia walijadili umuhimu wa kuhakiki maudhuri na mbinu bora za kufanya kazi hiyo na pia kujibu maswali yenu kupitia kipindi cha maswali na majibu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the prohibition dates back to the meiji period, when japan adopted western practices and institutions in the latter half of the 19th century.
zuio hilo lilianza enzi za meiji, wakati japani ikianza kukubaliana na utamaduni na taasisi za kimagharibi kwenye nusu ya pili ya karne ya 19.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
but what do you do when you try to embrace your significant other's cultural practices and end up standing out among colleagues?
lakini, je, unafanyaje pale unapojaribu kukumbatia taratibu za kiutamaduni za mwenzako na kuishia kuonekana tofauti miongoni wa wenzako?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the score system also needs to be verified in further clinical practice and studies.
mfumo wa alama pia unahitaji kuthibitishwa katika matendo na utafiti wa kimatibabu wa baadaye.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
she blogs at sacando la lengua about languages, literature and interactions in society, and deeply believes in the uniqueness and importance of every culture, and in the study of them as a mirror to our own.
yeye huendesha blogu inayoitwa sacando la lengua inayohusu lugha, fasihi na miingiliano ya watu katika jamii, na anaamini kabisa kwamba kila utamaduni ni wa pekee na ni muhimu sana, na kwamba tukijifunza tamaduni hizo tunapata kujiona wenyewe vizuri zaidi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Algumas traduções humanas com pouca relevância foram ocultadas.
Mostrar resultados de pouca relevância.