Você procurou por: ideal (Inglês - Suaíli)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

English

Swahili

Informações

English

ideal

Swahili

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Inglês

Suaíli

Informações

Inglês

yushchenko now has a historically ideal opportunity to resign.

Suaíli

hivi sasa yuschenko ana wasaa muafaka wa kujiuzulu.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

it is an ideal which i hope to live for and to achieve.

Suaíli

ni ndoto ambayo nataraji kuiishi na kuitimiza.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

but, if need be, it is an ideal for which i am prepared to die.

Suaíli

lakini, kama itahitajika, hiyo ni ndoto ambayo nimejiandaa kupoteza maisha yangu kwa ajili yake.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

we have cited in this quran for mankind every ideal, that they may take heed.

Suaíli

na bila ya shaka tumewapigia watu mifano ya kila namna katika hii qur'ani ili wapate kukumbuka.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

the huge gap between ideal and reality and whether one should stay or leave is always a struggle.

Suaíli

pengo kubwa kati ya hali halisi na ile iliyotarajiwa na ikiwa mtu anapaswa kuondoka au kubaki ni sula la mapambano.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

i have cherished the ideal of a democratic and free society in which all persons live together in harmony and with equal opportunities.

Suaíli

nimekuwa na ndoto ya jamii ya kidemokrasia na huru ambayo watu wote wanaishi pamoja kwa mshikamano na fursa sawa.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

only by doing so will we move forward on achieving dr. king’s final ideal — true racial equality.

Suaíli

ni kwa kufanya hivyo tutaweza kusonga mbele kufikia njozi ya mwisho ya dkt. king – usawa wa kweli wa watu wa rangi zote.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

the timing might not be ideal, but we have the opportunity as media contributors to reframe the conversation for thousand of readers all over the world, while they are paying attention.

Suaíli

wakati muafaka unaweza usiwepo, lakini tunayo fursa, kama waandishi wa habari kutengeneza aina ya mijadala yenye tija kwa maelfu ya wasomaji wetu duniani kote, hasa pale wanapokuwa wanafuatilia kwa makini.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

much has been said that, after his great campaign, capriles is in an ideal position to take lead the opposition and shield the unity well, here is his first challenge.

Suaíli

mengi yamesemwa kwamba, baada ya kampeni hii kubwa, capriles anaweza kuongoza vyema upinzani na kuongoza mshikamano. hii ni changamoto yake ya kwanza.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

longevity, densely packed colonies, close social interaction and strong ability to fly are all favourable conditions for bats to be an ideal 'virus spreader'.

Suaíli

uwezo wa kuishi kwa muda mrefu, makazi yenye wanyama wengi, miingiliano ya karibu ya kijamii na uwezo thabiti wa kuruka ni hali zinazomfanya popo kuwa 'mnyama anayeweza kueneza virusi'.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

ultimately, the best way for us to work toward achieving the ultimate colorblind ideal is to recognize, accept, and understand that racial distinctions still matter and that they are still the basis for continuing discrimination and inequality in american society today.

Suaíli

hatimaye, njia yetu bora zaidi katika kufikia njozi ya kutoona rangi za wengine ni kwa kutambua, kukubali, na kuelewa kuwa utofauti wa rangi bado upo na kwamba ubaguzi huo bado ni msingi unaoendeleza ubaguzi na ukosefu wa usawa katika jamii ya kimarekani leo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

because they are fighting african union troops in somalia, who have stopped them from establishing an islamic state under sharia law. ....what i see are country mates, human beings who were doing nothing worse than watching a football match who were killed and maimed, in the name of ideals that they may have no real thought about, actions that they cannot control in the least.

Suaíli

wanafurahi kwa sababu wanapambana na vikosi vya umoja wa afrika nchini somali, vikosi hivyo vimewazuria wapiganaji hao kuanzisha dola la kiislamu lenye kuongozwa na sharia ya kiislamu. ….ninachokiona ni raia wenzangu, binadamu ambao kikubwa walichokuwa wanakifanya ni kutazama mechi ya kandanda ambapo wengi wao wameuawa na wengine kujeruhiwa, wamefanyiwa hivyo kwa fikra na njozi ambazo pengine wala hawakuwahi kuziwazia, yaani vitendo ambavyo wala hawawezi kuvitawala au kuwa na ushawishi navyo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,750,119,728 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK