Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
intellectual property
akili ni mali
Última atualização: 2016-01-21
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
and no damn intellectual analysis is required.
lakini, hakuna ubishi kwamba uchambuzi yakinifu wa kiakili ni jambo la lazima.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
- we completely respect intellectual property rights.
-tunaheshimu kabisa haki miliki za kitaaluma.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
some george scalvini guy claimed intellectual ownership of the video.
jamaa anayejiita george scalvini alidai kuwa na haki miliki ya video hiyo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
do intellectual rights to published thoughts and photos have any value here?
hivi haki miliki za utaaluma kwa mawazo na picha zilizochapishwa zina thamani yoyote hapa?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
if i was in the usa i would file an intellectual property rights case against al yaum.
kama ningekuwa marekani ningefungua kesi ya haki miliki ya utaaluma dhidi ya al yaum.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
one is the intellectual elites who refuse to celebrate such a day until all political and civil demands are met.
moja ni tabaka la wasomi wanaokataa kusherehekea siku hiyo mpaka matakwa yote ya kisiasa na kiraia yatekelezwe.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
i also don't have time to read books such as biographies, novels, or those on intellectual topics.
pia sipati muda wa kusoma vitabu kama vile kuhusu maisha ya watu binafsi, hadithi, au hata kuhusu mada za kujiendeleza kiakili.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
"their intellectual apathy, targeted myopia and general dis-ingenuousness played dangerously to help continue the pandemic.
“umawazo mgando wao , umbumbumbu wa kukusudia na kujitia kwao kuwa wanyofu kulichochea tu uendelevu wa janga hili.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
leadership vacuum is dangerous and is responsible for killings in the north, kidnapping in the east, militants gang raping in the south south and intellectual indifference in the west.
ombwe la uongozi ni hatari na linawajibika kwa mauaji ya eneo la kaskazini, utekaji nyara mashariki ya nchi, magenge ya wanajeshi kubaka watu kusini mwa nchi na tofauti za kiufahamu zilizoko magharibi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
this girl, who has been said to have an intellectual disability, was raped by the 41-year-old grandfather of her half-sister.
msichana huyu, anayesemekana kuwa na ulemavu wa akili, alibakwa na babu wa dada yake wa kambo mwenye miaka 41.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
in his second essay, "now is the time", williams proposes that "a group of intellectual, editorial and it visionaries with ... pioneering spirit and the entrepreneurial drive" ought to "take up the challenge of creating an online home for our struggling writers and poets to help them stand on their feet so they in turn can help usher in a new dawn of knowledge and enlightenment."
katika insha yake ya pili, "wakati ni huu", williams anapendekeza kwamba "kundi la wasomi, wahariri na wasanifu wenye visheni ... wanaosukumwa na roho chipukizi na ya kijasiriamali" hawana budi "kuchukua changamoto ya kuunda mahali katika mtandao patapotumiwa na waandishi na washairi wetu wanaohangaika ili kuwasaidia waweze kusimama kwa miguu yao ili kwa upande wao nao pia walete maarifa na msisimko mpya."
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível