Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
thereupon lot believed in him, and he said, ‘indeed i am migrating toward my lord.
lut'i akamuamini, na akasema: mimi nahamia kwa mola wangu mlezi.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
more and more indians are living in smaller family units, and younger people are migrating in search of better opportunities.
wahindi wengi zaidi sasa wanaishi kwenye familia ndogo, na vijana wanahama kutafuta fursa bora zaidi za kimaisha.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
professional journalists are increasingly migrating to online media and blogs in pursuit of more freedom, blurring the old lines of definition.
wanahabari mahiri wanazidi kuhamia katika matumizi ya vyombo vya habari vya mtandaoni na blogu ili kutafuta uhuru zaidi, hivyo kufanya ufafanuzi uliokuwepo hapo kabla kuingia ukungu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
that giant swarm of insects you’ve been hearing at every confederations cup game is not, in fact, one of the biblical plagues migrating south.
ile sauti kubwa kama ya kundi kubwa la nzige ambayo umekuwa ukiisikia katika kila mchezo kombe la mabara si, kwa hakika, mojawapo ya yale ‘mapigo’ yanayoelezwa katika biblia.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and whoever leaves his home migrating toward allah and his apostle, and is then overtaken by death, his reward shall certainly fall on allah, and allah is all-forgiving, all-merciful.
na anaye toka nyumbani kwake kuhama kwa ajili ya mwenyezi mungu na mtume wake, kisha yakamfika mauti njiani basi umethibiti ujira wake kwa mwenyezi mungu. na mwenyezi mungu ndiye mwenye maghfira na mwenye kurehemu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade: