Você procurou por: ranking matrix (Inglês - Suaíli)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

English

Swahili

Informações

English

ranking matrix

Swahili

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Inglês

Suaíli

Informações

Inglês

remember the matrix?

Suaíli

je unakumbuka matrix?

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

target countries of land deals from the land matrix project

Suaíli

nchi zilizolengwa kwa ugawaji huo wa ardhi kutoka kwenye mradi wa land matrix

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

he is indeed one of our high ranking, firmly believing bondmen.

Suaíli

hakika yeye ni katika waja wetu walio amini.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

niaje, the star, orange and michezo afrika have gone down in the ranking.

Suaíli

niaje, the star, orange na michezo afrika zimeshuka umaarufu.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

ben kiruthi, ku, kenya today and kopo kopo have joined the top 50 ranking.

Suaíli

ben kiruthi, ku, kenya today na kopo kopo zimeingia kwenye orodha ya 50 bora.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

jumia, kra, career point kenya, helb and techweez have gone up the ranking.

Suaíli

jumia, kra, career point kenya, helb na techweez zimepanda chati.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

some politicians and high-ranking officers have reportedly been arrested in bamako, the capital city.

Suaíli

baadhi ya wanasiasa na maafisa wa ngazi za juu wameripotiwa kuwekwa kizuizini mjini bamako, makao makuu ya nchini hiyo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

we decided to make our own quiz based on the simplistic assumptions the national counterterrorism center made, in its ranking system.

Suaíli

tuliamua kutengeneza chemsha bongo yetu wenyewe kwa kutumia bashiri nyepesi zilizofanywa na kituo cha taifa cha kupambana na ugaidi kwenye kutunga maswali yake.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

but odd one out indeed, malaysia is also languished way below tanzania, uganda and zambia in press freedom ranking.

Suaíli

lakini, ama kwa hakika ni nchi iliyopotea njia, maana malaysia inaangamia tena chini ya tanzania, uganda na zambia hasa katika kushika nafasi gani kwenye masuala ya uhuru wa vyombo vya habari.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

officials at all levels of government in china have a reputation for running up high bills while wining and dining guests and other higher ranking cadres.

Suaíli

maafisa katika ngazi zote za serikali nchini china wanasifika kwa kuja na malipo ya juu sana hasa pale wanapowaandalia hafla wageni na makada wengine wa ngazi za juu.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

for example, independent reporters continue to face a high risk of being slapped with various lawsuits if they expose controversies in the bureaucracy or criticize high ranking government officials.

Suaíli

kwa mfano, waandishi wa habari wa kujitegemea wanaendelea kuwa katika hali ya hatari ya kukumbwa na vifungu mbalimbali vya sheria kama wataweka bayana hali ya sintofahamu katika uongozi au kuwakosoa viongozi wa ngazi za juu serikalini.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

global voices co-founder, rebecca mackinnon, was awarded a knight news challenge award to develop a global ranking of internet companies.

Suaíli

mwanzilishi wa global voices, rebecca mackinnon, alitunukiwa tuzo ya knight news challenge kwa ajili ya kutayarisha safu ya kiulimwengu ya makampuni yanayotoa huduma ya intaneti.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

even though the japanese government is working toward advancing its open data policy, the country has a ways to go, ranking 30th out of 70 countries, according to an index compiled by open knowledge foundation.

Suaíli

pamoja na kuwa serikali ya japan inajitahidi kupiga hatua katika uboreshaji wa sera yake ya uwazi, nchi hii bado ina safari ndefu, kwani imeshika nafasi ya 30 kati ya nchi 70, kwa mujibu wa orodha liyoandaliwa na asasi ya ujuzi huru.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

the ranking system is "supposed to alert us government officials to individuals at risk of turning to radical violence, and to families or communities at risk of incubating extremist ideologies."

Suaíli

mfumo huo unatarajiwa "kuwaweka maafisa wa serikali ya marekani katika hali ya tahadhari kwa watu wenye hatari ya kugeuka kuwa watu wa ghasia, na familia au jamii zilizo kwenye uwezekano wa kukumbatia itikadi za kikaidi."

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Inglês

considering all these factors, and led by hong kong, singapore and new zealand, spain is 49th out of the 112 countries in the ranking, followed by mexico, iran and costa rica, among others.

Suaíli

kwa kuzingatia sababu zote hizi, huku ikiongozwa na hong kong, singapore na new zealand, uhispania imeshikilia nafasi ya 49 kati ya nchi 112 katika orodha hiyo, ikifuatiwa na mexico, iran na costa rica, kw auchache.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

"the country is continuing to drop into the index's lower rankings because of its policy of systematic repression enforced by government leaders in tunis against any person who expresses an idea contrary to that of the regime," states the report.

Suaíli

“nchi hiyo inaendelea kuporomoka kwenda kwenye nafasi za chini zaidi za orodha kwa sababu ya sera zake za kigandamizaji zinazotekelezwa na watawala wa serikali mjini tunis dhidi ya mtu yeyote anayetoa wazo kinyume na lile la utawala ulioko madarakani,” inasema taarifa hiyo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,794,611,878 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK