Você procurou por: relatively (Inglês - Suaíli)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

English

Swahili

Informações

English

relatively

Swahili

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Inglês

Suaíli

Informações

Inglês

now, only the relatively sturdy homes survived.

Suaíli

sasa, nyumba bora tu ndizo zilipona.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

first of all, their relatively high mutation rates in rna replication.

Suaíli

kwanza kabisa, viwango vyao vya juu vya kubadilika katika uzalishaji wa rna.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

twitter, the most convenient platform for live blogging, is relatively unpopular in russia.

Suaíli

twita, jukwaa zuri la kublogu moja kwa moja, si maarufu nchini urusi.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

mers-cov causes very mild disease and maintains a relatively low mutation rate in these animals.

Suaíli

mers-cov husababisha ugonjwa kiasi sana na hudumisha kiwango cha chini cha kubadilika ikilinganishwa miongoni mwa wanyama hawa.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

symptoms of covid-19 can be relatively non-specific and infected people may be asymptomatic.

Suaíli

dalili za covid-19 huweza kuwa si maalum na watu waliambukizwa huweza kuwa hawaonyeshi dalili yoyote.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

indeed, recovered patients often have a relatively high level of antibodies against the pathogen in their blood.

Suaíli

hakika, wagonjwa waliopona mara nyingi wana viwango vya juu vya antibodi ikilinganishwa na pathogeni kwenye damu zao.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

in other words, because the political environment changed relatively slowly, the political dinosaurs have been able to adapt and even thrive

Suaíli

kwa maneno mengine, kwa sababu mazingira ya kisiasa yalibadilika kwa taratibu, kiumbe wa kisiasa wa kale ameweza kuendana nayo na hata kufanikiwa.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

the rallies, which were organized to echo the various demands of workers and advocacy groups, were relatively peaceful across the region.

Suaíli

mikutano, ambayo iliandaliwa kudai haki za wafanyakazi na makundi mengine ya utetezi, yalifanyika kwa amani katika bara lote la asia ya kusini mshariki.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

rigorous scientific investigation has only just begun in the communities hit by the epidemic, and relatively few facts have been established, but scientists are coming up with what they believe to be a credible hypothesis.

Suaíli

uchunguzi zaidi wa kisayansi umeanza tu katika jamii zilozo adthiriwa na ugonjwa, na ukweli mchache kuanzishwa, lakini wanasayansi nwamezindua kile wanachokiamini kuwa wazo la kuaminika.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

twitter user @redparco reminded people of the social stigma on unmarried women visiting gynaecologists in south korean society, which is still relatively conservative and patriarchal:

Suaíli

mtumiaji wa twita, @redparco aliwakumbusha wale wasiokubaliana na suala la wanawake wa jamii ya watu wa korea ya kusini ambao hawajaolewa kuwa ni watu wasiotaka mabadiliko na ni wa mfumo dume.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

blogs and twitter didn't serve as serious means of public mobilization since the internet penetration rate is relatively small in kyrgyzstan ( just 15 percent in 2009).

Suaíli

blogu na twita hazikutumika kama nyenzo kuu za kuhamasisha umma hasa kwa kuzingatia kwamba intaneti bado ni changa katika nchi ya kirigistani (imefikia asilimia 15 tu mpaka mwaka 2009).

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

in gangelt, the disease was spread by carnival festivals, and spread to younger people, causing a relatively lower mortality, and not all covid-19 deaths may have been formally classified as such.

Suaíli

huko gangelt, ugonjwa huo ulienezwa katika sherehe za kanivali, na kuenezwa kwa vijana, na kusababisha vifo visivyo vingi, na sio vifo vyote vya covid-19 vinaweza kuorodheshwa rasmi kwa namna hiyo.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

by 26 february, relatively few cases had been reported among youths, with those 19 and under making up 2.4% of cases worldwide.the united kingdom's chief scientific adviser, patrick vallance, estimated that 60% of the british population would need to become infected before effective herd immunity could be achieved.

Suaíli

kufikia 26 februari, angalau visa vichache viliripotiwa katika vijana, wale walio na umri 19 na chini wakiwa hadi 2.4% ya visa ulimwenguni.mshauri mkuu wa kisayansi wa uingereza, patrick vallance, alikadiria kuwa 60% ya idadi ya uingereza watahitaji kuambukizwa kabla ya kinga fanifu itapatikana kupitia chanjo.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,788,031,568 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK