Você procurou por: elettorale (Italiano - Suaíli)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Italian

Swahili

Informações

Italian

elettorale

Swahili

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Italiano

Suaíli

Informações

Italiano

i cittadini possono così influenzare positivamente il processo elettorale.

Suaíli

raia walikuwa na nguvu ya kugeuza kwa faida mchakacho wa uchaguzi.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Italiano

venezuela: reazioni online alla vittoria elettorale di hugo chávez

Suaíli

venezuela: ni chávez tena kwa miaka sita zaidi posti hii imeandika kwa ushirikiano na jessica carrillo .

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Italiano

l'idea della frode elettorale, dunque, non ha più ragione d'esistere.

Suaíli

kwa kudai, mara kwa mara, kwamba mfumo ulikuwa umekaguliwa vya kutosha, na kwamba upinzani umeweza kuweka waangalizi katika asilimia 100 ya vituo vya upigaji kura, hakuna ten nafasi ya kuendekeza wazo la wizi wa kura.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Italiano

attahiru jega, professore di scienze politiche e capo della commissione elettorale nazionale indipendente (inec)

Suaíli

habari mpya 04/03: tume ya taifa ya uchaguzi ilitangaza kwamba chaguzi zote zimesogezwa mbele kwa juma moja, kwa sababu ya kuchelewa kufika kwa vifaa vya kupigia kura.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Italiano

community life project si è schierata con successo dalla parte della piattaforma per aver promosso trasparenza elettorale nella fase precedente al voto delle elezioni 2011.

Suaíli

mradi wa maisha ya jamii uliweza kwa mafaniko makubwa kulitumia jukwaa hili kwa ajili ya kukuza uwazi wakati wa uchaguzi katika kipindi cha kabla ya uchaguzi wa mwaka 2011.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Italiano

... con i sistemi di sicurezza che ci sono, se venisse rubata o scambiata una scheda elettorale, la commissione ne verrebbe a conoscenza.

Suaíli

…huku kukiwa na nyenzo za usalama, (ambazo) kama sanduku la kupigia kura litachanwa ama kubadilishwa, tume itajua.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Italiano

per la prima volta nella nostra storia, i cittadini di questo paese dispongono di una straordinaria piattaforma per promuovere la trasparenza elettorale e la partecipazione popolare.

Suaíli

kwa mara ya kwanza katika histora yetu, raia wa nchi hii wanalo jukwaa la kuheshimika kwa ajili ya kukuza uwazi wakati wa uchaguzi na ushirikishwaji unaowafikia wengi.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Italiano

i promotori hanno calibrato diversamente il messaggio e proclamato un nuovo slogan: "il mio certificato elettorale, il mio voto".

Suaíli

waandaaji bila ya shaka walijua jinsi ya kufikisha ujumbe wao: fulana nyeusi zenye maandishi meupe “y'en a marre” ziligawanywa kwenye umati.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Italiano

... chi sovrintende all'intero processo elettorale deve essere visto come persona retta, con un'integrità tale da essere compatibile con trasparenza e imparzialità.

Suaíli

…mtu anayeongoza chombo cha uchaguzi lazima aonekane kuwa hana hatia yoyote, mwenye uaminifu ambao upo wazi na vile vile asiye na upendeleo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Italiano

a determinare in larga misura la credibilità delle tornate elettorali delle prossime tre settimane sarà attahiru jega, professore di scienze politiche e direttore dell'inec, commissione elettorale indipendente.

Suaíli

attahiru jega, profesa wa sayansi ya siasa na mkuu wa tume ya taifa ya uchaguzi (inec) kwa kiasi kikubwa ndiye atakayeamua juu ya kuhalalishwa kwa zoezi la upigaji kura ndani ya majuma matatu.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Italiano

abbiamo perso quasi il 20% della nostra base elettorale, e le prime analisi riportano che gli elettori che abbiamo perso fanno parte degli strati poveri della popolazione e che non abbiamo guadagnato alcun voto tra gli elettori della classe media.

Suaíli

tumepoteza takribani asilimia 20 ya kura zetu. uchambuzi wa awali unaonyesha kwamba tumepoteza katika sekta za watu wenye kipato kidogo na wala hatukujiongozea kura kutoka katika sekta za tabaka la kati.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Italiano

il solo obiettivo è portare avanti il loro programma elettorale, che, secondo carreras, è "l'unico vero comune denominatore che ci unisce".

Suaíli

lengo lao tu ni kulinda jukwaa lao la uchaguzi, ambayo kwa mujibu wa carreras, ni "lengo kuu lililowaunganisha."

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Italiano

a quarantotto ore dalle elezioni generali che si terranno nel paese, a partire da quelle per l'assemblea nazionale, il presidente della commissione elettorale nazionale indipendente (inec). prof. attahiru jega, ha dichiarato ieri di non aver ricevuto pressioni con intenti manipolativi sul processo elettorale per favorire questa o quella compagine, e anche qualora ne ricevesse, non farebbe comunque favori a nessuno.

Suaíli

saa arobaini na nane kuelekea kwenye uchaguzi mkuu katika nchi ukianzia na upigaji kura wa kuchagua wabunge, mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi, inec, prof. attahiru jega, alitangaza jana kwamba hakuwa kwenye shinikizo la kuchezea (kuchakachua) mchakato wa uchaguzi ili kumpa yeyote faida isiyo halali na kwamba hata shinikizo hilo linatokea sehemu yoyote, hatalazimika kukubaliana nazo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,799,674,641 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK