Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
et spiritus prophetarum prophetis subiecti sun
kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu ni lazima kitawaliwe na huyo mwenye hicho kipaji.
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
credis rex agrippa prophetis scio quia credi
mfalme agripa, je, una imani na manabii? najua kwamba unaamini."
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
vae cum bene vobis dixerint omnes homines secundum haec faciebant prophetis patres eoru
ole wenu ninyi iwapo watu wote wanawasifu, maana wazee wao waliwafanyia manabii wa uongo vivyo hivyo.
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
et incipiens a mose et omnibus prophetis interpretabatur illis in omnibus scripturis quae de ipso eran
akawafafanulia mambo yote yaliyomhusu yeye katika maandiko matakatifu kuanzia mose hadi manabii wote.
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
adtendite a falsis prophetis qui veniunt ad vos in vestimentis ovium intrinsecus autem sunt lupi rapace
"jihadharini na manabii wa uongo. wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali.
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
est scriptum in prophetis et erunt omnes docibiles dei omnis qui audivit a patre et didicit venit ad m
manabii wameandika: watu wote watafundishwa na mungu. kila mtu anayemsikia baba na kujifunza kutoka kwake, huja kwangu.
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
confiteor autem hoc tibi quod secundum sectam quam dicunt heresim sic deservio patrio deo meo credens omnibus quae in lege et prophetis scripta sun
ninachokubali mbele yako ni hiki: mimi ninamwabudu mungu na wazee wetu nikiishi kufuatana na njia ile ambayo wao wanaiita chama cha uzushi. ninaamini mambo yote yaliyoandikwa katika vitabu vya sheria na manabii.
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
cum constituissent autem illi diem venerunt ad eum in hospitium plures quibus exponebat testificans regnum dei suadensque eos de iesu ex lege mosi et prophetis a mane usque ad vespera
basi, walipanga naye siku kamili ya kukutana, na wengi wakafika huko alikokuwa anakaa. tangu asubuhi mpaka jioni paulo aliwaeleza na kuwafafanulia juu ya ufalme wa mungu akijaribu kuwafanya wakubali habari juu ya yesu kwa kutumia sheria ya mose na maandiko ya manabii.
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
et dixit ad eos haec sunt verba quae locutus sum ad vos cum adhuc essem vobiscum quoniam necesse est impleri omnia quae scripta sunt in lege mosi et prophetis et psalmis de m
halafu akawaambia, "hii ndiyo maana ya maneno niliyowaambia nilipokuwa pamoja nanyi: kwamba ilikuwa lazima kukamilisha yote yaliyoandikwa juu yangu katika sheria ya mose na katika vitabu vya manabii na katika kitabu cha zaburi."
Última atualização: 2012-05-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível