Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
humo, wadudu wake hawafi na moto hauzimiki.
حيث دودهم لا يموت والنار لا تطفأ.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 3
Qualidade:
fahari na utajiri wa watu wa mataifa utaletwa humo ndani.
ويجيئون بمجد الامم وكرامتهم اليها.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
wafilipino walivyomficha papa francis hali mbaya ya haki za kijamii nchini humo
كيف تمكنت السلطات الفلبينية من إخفاء الظلم الاجتماعي خلال زيارة البابا فرانسيس
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo.
ورأى ايضا ارملة مسكينة ألقت هناك فلسين.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
lakini picha hizo kwa ujumla huwa zinaonyesha upande hasi wa mgogoro nchini humo.
لكن بشكل عام أغلب تلك الصور سلبية وعن الجانب السيئ من الصراع.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
naye atawaonyesheni chumba kikubwa ghorofani ambacho kimepambwa. andalieni humo."
فذاك يريكما عليّة كبيرة مفروشة. هناك اعدا.
Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
mwezi julai, walifunguliwa mashtaka chini ya sheria kupambana na ugaidi nchini humo.
في تموز/يوليو، وُجّهت ضدهم التهم بموجب قانون مكافحة الإرهاب الأثيوبي، ولازالوا خلف القضبان دون محاكمة إلى الآن.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
harusi za pamoja zimekuwa maarufu nchini humo kwa sababu hupunguza gharama za harusi kwa kila familia ya maarusi.
تعتبر حفلات الزفاف المجمعة عادة منتشرة في البلاد بسبب ميزة انخفاض التكاليف.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kurindima kwa kesi hiyo mahakamani kulivuta hisia za watu wengi nchini humo mwaka 1996, wakati mkasa huo ulipotokea.
أثارت الدراما داخل قاعة المحكمة انتباه الشعب في العام 1996، وقت حدوثها.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kanisa katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini humo limeunga mkono madai ya upinzani ya kusimamisha shughuli yoyote ya kupitia upya ratiba ya uchaguzi.
وقد أيدت الكنيسة الكاثوليكية التي تتمتع بنفوذ قوي طلب المعارضة لمنع أي تعديل على الجدول الزمني المخطط للانتخابات.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
baba mzazi wa mwanablogu huyo aliviambia vyombo vya habari nchini humo kuwa aliamini kukamatwa kulikuwa ni kutekeleza sheria mpya iliyotungwa kupiga marufuku maandamano mitaani nchini misri.
أخبر والد المدون وسائل الإعلام أنه يعتقد أن هذه المذكرة أصدرت بناء على قانون التظاهر الجديد والذي يمنع التطاهر في مصر.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
bwawa hilo linalotazamiwa kuongeza uzalishaji wa nishati ya umeme nchi humo litakuwa na ukubwa wa mita za ujazo bilioni 7.250 litakalotunza maji kwa eneo lenye kilomita za mraba 610.
من المتوقع أن يزيد السد معدل انتاج الطاقة، مع سعته التي تبلغ 7250 بليون متر مكعب على مساحة 610 كم مربع.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
baadhi ya wafungwa wa kisiasa waliweza kuning'iniza mabango nje ya vyumba vyao vya magereza. walimwomba papa kutazama hali ya haki za binadamu yanayozidi kuwa mbaya nchini humo.
تمكن أحد السجناء السياسيين من تعليق لافتة خارج زنزانته، يلفت انتباه البابا للوضع المتردي لحال حقوق الإنسان في البلد.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
aidha, ugavi wa umeme usioaminika unagusa maisha ya idadi kubwa ya watu nchini humo.feowl ni mradi mpya unaotaribiwa na jamii unaolenga kukusanya, kusaili na hatimaye kutoa takwimu ambazo kwa sasa hazipatikani juu ya athari za ugavi duni wa umeme huko douala, eneo linalosifika kwa shughuli za uchumi nchini humo.
ويعتبر باقي السكان أيضاً فقر مصادر الكهرباء الغير معول عليها مشكلة لهم. فظهرت مبادرة feowl، وهي مبادرة مجتمعية تهدف إلى سد النقص المعلوماتي في مجال فقر الطاقة في دوالا، المركز الاقتصادي في الكاميرون.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: