Você procurou por: katikati (Suaíli - Hebraico)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

Swahili

Hebrew

Informações

Swahili

katikati

Hebrew

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Suaíli

Hebraico

Informações

Suaíli

lakini yesu akapita katikati yao, akaenda zake.

Hebraico

אך הוא עבר בתוכם וילך לדרכו׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

sikukuu hiyo ilipofikia katikati, yesu naye alikwenda hekaluni, akaanza kufundisha.

Hebraico

ויהי בחצי ימי החג עלה ישוע אל המקדש וילמד׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, "njoo hapa katikati."

Hebraico

ויאמר אל האיש אשר יבשה ידו קום עמד בתוך׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

ilipokuwa jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu.

Hebraico

ויהי ערב והאניה באה בתוך הים והוא לבדו ביבשה׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

na katikati yake kulikuwa na kitu kama mtu, naye alikuwa amevaa kanzu ndefu na ukanda wa dhahabu kifuani.

Hebraico

ובתוך שבע המנרות דמות בן אדם לבוש מעיל וחגור אזור זהב על לבו׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

basi, walimu wa sheria na mafarisayo wakamletea mwanamke mmoja aliyefumaniwa katika uzinzi. wakamsimamisha katikati yao.

Hebraico

ויביאו הסופרים והפרושים אשה לפניו אשר נתפשה בשטותה ויעמידוה בתוך׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

na wakati huo ile mashua ilikwishafika karibu katikati ya ziwa, lakini ilikuwa inakwenda mrama kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.

Hebraico

והאניה הלכה בתוך הים ותטרף מן הגלים כי הרוח לנגדה׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

hapo ndipo walipomsulubisha, na pamoja naye waliwasulubisha watu wengine wawili; mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto, naye yesu katikati.

Hebraico

ויצלבו אתו שמה ושני אנשים אחרים עמו מזה אחד ומזה אחד וישוע בתוך׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kwa sababu mwanakondoo aliye katikati ya kiti cha enzi atakuwa mchungaji wao, naye atawaongoza kwenye chemchemi za maji ya uzima. naye mungu atayafuta machozi yote machoni mwao."

Hebraico

כי השה אשר בתוך הכסא הוא ירעם ועל מבועי מים חיים ינהלם ומחה אליהם כל דמעה מעיניהם׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

lakini yesu alijua mawazo yao, akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, "inuka, simama katikati." yule mtu akaenda akasimama katikati.

Hebraico

והוא ידע את מחשבותם ויאמר אל האיש אשר ידו יבשה קום ועמוד בתוך ויקם ויעמד׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Suaíli

mto huo ulitiririka kupitia katikati ya barabara kuu ya mji. kandokando ya mto huo kulikuwa na mti wa uzima unaozaa matunda mara kumi na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake ni dawa ya kuwaponya watu wa mataifa.

Hebraico

ובתוך רחוב העיר ואל שפת הנחל מזה ומזה עץ חיים עשה פרי שנים עשר כי מדי חדש בחדשו יתן את פריו ועלה העץ לתרופת הגוים׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

kisha nikaona pale katikati ya kiti cha enzi mwana kondoo amesimama, akizungukwa kila upande na vile viumbe hai vinne, na wale wazee. huyo mwanakondoo alionekana kana kwamba amechinjwa. alikuwa na pembe saba na macho saba ambayo ni roho saba za mungu zilizokuwa zimepelekwa kila mahali duniani.

Hebraico

וארא והנה בין הכסא וארבע החיות ובין הזקנים שה עמד כמו טבוח ולו שבע קרנים ושבעה עינים אשר הם שבעה רוחות האלהים השלוחים אל כל הארץ׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Suaíli

"kwa malaika wa kanisa la efeso andika hivi: "huu ndio ujumbe kutoka kwake yeye ashikaye nyota saba katika mkono wake wa kulia, na ambaye hutembea katikati ya vinara saba vya taa vya dhahabu.

Hebraico

אל מלאך קהל אפסוס כתב כה אמר האחז בימינו שבעת הכוכבים המתהלך בתוך שבע מנרות הזהב׃

Última atualização: 2012-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
7,747,163,971 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK