Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
sd: aliongea nawe katika ule mwezi wa misho??
sd: did she speak to you in the final month?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mousavi aliongea na kuomba matokeo ya uchaguzi yaangaliwe tena.
mousavi spoke and called for the election results to be reviewed.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
pia aliongea na kubishana na wayahudi wasemao kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua.
and he spake boldly in the name of the lord jesus, and disputed against the grecians: but they went about to slay him.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
yesu aliwahubiria ujumbe wake kwa mifano mingine mingi ya namna hiyo; aliongea nao kadiri walivyoweza kusikia.
and with many such parables spake he the word unto them, as they were able to hear it.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
ali aliongea katika tukio la tedx huko katika jiji la rawalpindi mapema wiki chache zilizopita, tazama hapa hotuba yake iliyo na hamasa kubwa
ali spoke at tedx event in rawalpindi city just a few weeks ago, watch his powerful speech here.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
baadae, afisa wa polisi aliongea na mama huyo akiamuru picha hiyo iondolewe. mama huyo pia, alielezea alichofanyiwa na askari kanzu aliyemtukana.
later, a police officer came to talk to her demanding the photograph be taken down. she told him about the mabahith member.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
kwa muda wa siku arobaini baada ya kifo chake aliwatokea mara nyingi kwa namna ambazo zilithibitisha kabisa kwamba alikuwa hai. walimwona, naye aliongea nao juu ya ufalme wa mungu.
to whom also he shewed himself alive after his passion by many infallible proofs, being seen of them forty days, and speaking of the things pertaining to the kingdom of god:
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
mmoja wa watu wa kundi la mabahith aliongea wakati wa mchana na maha al-dhuhaian ambaye ni mke wa al-ayaf, mtu huyo aliishiakumtukana mama huyo.
a member of the mabahith talked to maha al-dhuhaian - al-ayaf's wife - during the day and cursed her.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: